Mwanfunzi wa CBE Mkoani Dodoma ambaye ni shabiki mkubwa sana wa Diamond weekend hii Alionekana mwenye furaha sana iliyopitiliza akiwa kwenye show ya Daimond baada ya kupata taarifa kuwa mchumba wake Amejifungua mtoto wa kiume, Mwanafunzi huyo aliamua kupanda jukwaani na kutamka wazi kwa mtoto wake Anampatia Jina La Nasibu kama Ishara ya kumbukumbu ya Msanii huyo mabaye Anamkuli sana kuliko wasanii wote |