Wednesday, July 8, 2015

ALIKIBA ALINIPA USHIRIKIANO KATIKA SHOW ZANGU NA WALA SINA TATIZO NAE AFUNGUKA _ OMMY DIMPOZ

 
Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz amesema kupitia Friday Night Live kuwa hana tatizo na Ali kiba na kwamba ata yeye alivyokuwa na show zake Zanzibar, Ali Kiba alifahamisha mashabiki wake kupitia Instagram na alifanya hivyo bila kuombwa.

Ali Kiba ndio msanii aliyefanya wimbo wa kwanza wa Ommy Dimpoz ‘Nai Nai’ na kuufanya wimbo huo kuwa mkubwa hapa Bongo na nje ya bongo pia.