HEBU MUANGALIE MASANJA MKANDAMIZAJI ANACHOKIFANYA KWENYE NDEGE
Msanii wa nyimbo za dini pamoja na vichesho Masanja Mkandamizaji ameamua kuichapa injili ndani ya Ndege kama anavyoonekana kwenye picha, mara nyingi imezoeleka ni kwenye mabasi lakini siku hizi injili ni popote mwanawani.