Ilikuwa furaha kumwona Diamond Platnumz akiwasili TZ kutokea South Africa akiwa na Tuzo ya MTV MAMA 2015 mkononi, ushindi huo sio kitu kidogo kwa sababu ni wasanii wachache sana waliopata bahati ya kuibuka na ushindi huo !!
Leo amepata nafasi ya kuongea na Watanzania na kutoa shukrani zake kwa support ya nguvu aliyopata mpaka akafanikiwa kuibuka na ushindi huo… ninazo pichaz hapa wakatiDiamond akitoa shukrani zake leo Julyu 22 2015 Dar es Salaam.