![]() |
Mwanamitindo maarufu ambae pia ni mama wa mtoto mmoja alie zaa na nguli wa hip hop “Kanye West,mara baada ya kusambaa kwa story kwamba ana uja uzito habari hizo zimekuwa confirmed kwa kuonekana mtaani huku nguo iliyo mbana ikionyesha tumbo lake. |
![]() |
mwenye umri wa miaka miwili,na baada ya hii mimba it means watakuwa na mtoto wa pili.Kim mwenye umri wa miaka 34 akiwa na dada yake khole mwenye miaka 36,walionekana maeneo ya Los Angele’s huku Kim akiwa amevaa nguo iliyo mbana na kumuonyesha tumbo lake.
![]() |
![]() |