Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo Dukani , Masama Blog tumepewa siri kuwa huwa kuna kamera za siri zinafichwa kwa baadhi ya Maduka yenye tabia mbaya na kuchukua picha kwa siri..
So kuweni Makini Wakina Dada zetu jamani