Mambo yamebadilika, si Dimondo kujitafutia wasanii wa Nigeria tena sasa wenyewe wanamtafuta kufanya naye collabo, D banji ambaye amesema ni mambo ya hapa na pale ambayo Dimondo anayakwamisha mpaka wasifanye collabo lakini yeye yupo tayari, hebu fikiria mpaka Coco master yupo tayari kwaajili ya Mondi wewe nani ukatae kwamba Mondi hayupo International?