Monday, July 27, 2015

HEBU MUONE HAPA DIAMOND PLATNUMZ AKIMCHOKOZA ZARI WAKATI WA KUPIKA

Mapenzi ya Diamond Platnumzna Zari yanazidi kuchukua sura mpya siku hadi siku, Hii ni video fupi ikimuonyesha Diamond akiwa na Zari jikoni wakati wa kupika.



Diamond ame share instagram na kuiandika "I was starving and she said "gimmie a second bae" ... #nightcravings #StateHouseByNight
.. haya ndio mambo yanatakiwa, sio wewe ukishamuagiza Mpenzio akupikie basi unakaa tu ndani unasubilia uletewe chakula, kama yeye Mama ntilie wako vile... unatakiwa ukae nae mtoto apate Mood ya Kupika Maanjumati..."