Showing posts with label BIG BROTHER. Show all posts
Showing posts with label BIG BROTHER. Show all posts

Thursday, February 25, 2016

Q Chillah Aamua Kwenda Kusaka Soko la Muziki Nigeria.

Msanii wa bongo fleva ,Q Chilla ameweka wazi kuwa siku za hivi karibuni atafunga safari kwenda Nigeria kufanya kazi zake za kimuziki ili kupanua soko.

Hata hivyo Msanii huyo amesema hajajua bado atafanya kazi na msanii gani wa Nigeria ila amejipanga kukabiliana na yeyote atayejitokeza kwani anaamini ni uwoga kupanga kufanya kazi na msanii fulani tuu.

“kuna watuwengi ambao tunawasiliana nao kwa sasa,lakini nimeona niwafate kule kule Nigeria ilikuwa niende tarehe 20 lakini tumeongeza wiki mbili ili kuimarisha bendi kwanza ambayo nimeizindua..nimejiandaa kolabo na yeyote yule,kwa sababu ukisema fulani ina maana una hofu na watu fulani” alifunguka Q Chillah.

Friday, February 19, 2016

Video ya Ay Ft Diamond Platnumz ‘Zigo’ yafungiwa,maelezo yako hapa.

Video
Katika kufuatilia maudhui ya vyombo vya utangazaji, mamlaka ya mawasiliano Tanzania [TCRA] imebaini kuwa miziki ya video inayokiuka kanuni za utangazaji kwa kuonyesha picha zisizozingatia maadili na ambazo zinachochea watoto kuiga maadili mabaya.
Mfano wa nyimbo hizo ni pamoja na ‘Zigo’ ulioimbwa na Ay akimshirikisha Diamond. Video za miziki ya aina hii zinaudhalilisha utamaduni wetu na zinakinzana na kanuni za huduma za utangazaji [Maudhui] 2005].

Monday, February 15, 2016

Kisa Utajiri Wenye Maswali, Zari Atajwa Freemason

ZARI47817
Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’
 Mwandani wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ameorodheshwa kwenye listi ya watu maarufu nchini Uganda ambao ni wanachama wa jamii ya siri ya Freemason kisa kikielezwa kuwa ni utajiri alionao wenye maswali mengi.
Habari kutoka Kampala, Uganda zilizoripotiwa hivi karibuni zilieleza kwamba, mwanamama huyo ana ukaribu mkubwa na matajiri wa Nigeria ambao wanaaminika kuwa utajiri wao ulitokana na kuwa ‘memba’ wa mtandao huo mkubwa duniani.
zari_3Gari la Zari.
Ilidaiwa kwamba, Zari amekuwa akifanya kufuru ya fedha zinazowashangaza wengi, kuwa kwa muziki au biashara gani anazofanya zinazomuingizia mkwanja mrefu kiasi cha kumiliki magari ya kifahari kama Lamborghini na Hummer ambayo yote ameyaandika majina yake badala ya namba za usajili.
Katika habari hiyo, wengine waliotajwa ni pamoja na aliyekuwa mumewe aliyezaa naye watoto watatu, Ivan Semwanga, wachungaji maarufu nchini humo na wanamuziki kama Joseph Mayanja ‘Jose Chameleone’ na Bebe Cool.
Zari anayemiliki hoteli ya kifahari iliyopo kwenye Mtaa wa Kagwa, Kampala nchini Uganda, anasemekana kumiliki vyuo vya urembo na maduka ya vipodozi nchini Afrika Kusini huku akijiingizia mkwanja kupitia shoo zake za Zari All White Party anazozifanya kwenye nchi za Afrika Mashariki za Uganda, Tanzania na Kenya.
Ijumaa Wikienda lilipomtafuta Zari hakupatikana badala yake aliyezungumzia ishu hiyo ni mpenzi wake, Diamond ambaye alisema kuwa mama mtoto wake ana miradi mingi na siyo kama wanawake wa mjini ambao wanabweteka badala ya kutafuta mkwanja.

Tiffah Amkojolea Diamond.... Zari,Babu Tale Wachekelea,Tazama Picha Hapa...




Spot who enjoyed dinner most


Friday, February 12, 2016

Dudubaya - Nitamdunda Shetta zaidi ya Mr Nice

DUDUBAYA amekasirika baada ya msanii SHETA kutumia jina la MAMBA wakati Dudubaya yeye ndiye aliye lianzisha Jina la MAMBA ambalo yeye ndie alianza kulitumia toka mwaka 2007.
Dudubaya alisema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo na kusema kuwa Shetta kwake ni kama mjukuu tu kwani yeye alianza kutoka wakati muziki wanarekodi kwa shilingi elfu kumi kwa hiyo baada ya hapo walikuwa wanamuziki kama kina Stara Thomas, Lady Jaydee,baadae wakaja wakina Marlaw,Bushoke, Matonya na wengine baadae sana ndio wanakuja wao hivyo kwake ni kama mjukuu.
"Imeniudhi sanaa Shetta kutumia jina langu la 'Mamba' hawezi kujiita Mamba wakati mimi jina langu toka 2007, hawa watoto sometimes wanakosa adabu, sitaki atumie jina langu na akiendelea kutumia hilo jina asinirudishe kwenye enzi za Mr Nice, Nitamfanya zaidi ya Mr Nice" Alisema Dudubaya 
Lakini Dudubaya aliendelea kusema kuwa amechukua jitihada za kumpigia simu Shetta lakini hajafanikiwa kumpata kwenye simu lakini alikuwa anataka kumueleza kuwa akome kutumia jina lake, na kusema kuwa kwanza yeye Shetta hafai kujiita Mamba labda ajiite Kenge.
"Mamba ni jina langu mimi na ndio maana biashara zangu hata nikifungua Pub inaitwa Mambaz, nikifungua chochote kinaitwa mamba hivyo hawezi yeye kujiita mamba, kwanza umbo lake lenyewe siyo mamba yule ni Kenge, suala la mimi kukaa kimya kwenye muziki nina shughuli zingine za kufanya ila ni jina langu mimi, huwezi leo DMX au Jarule amekaa kimyaa kwenye muziki wewe unaibuka unajiita Jarule utakuwa bumbuwazi" Alisema Dudubaya

Tuesday, July 7, 2015

‘You are so pretty’, ni kauli ya Jay Z alipomuona Vanessa Mdee


Vanessa Mdee anaweza kumfanya Beyonce anune au apate wivu kwakuwa muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ aliwahi kulivutia jicho la rapper mwenye nguvu zaidi duniani, Sean Carter aka Jay Z.

Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Vanessa alisema yeye mwenyewe alipokuna na rapper huyo wa ‘Run This Town’, mdomo wake ulipigwa ganzi kwa muda na maneno kushindwa kumtoka.
 
“Ooh my God! I was so nervous,” alikumbushia Vanessa.
 
“Lakini bahati nzuri nilikuwa sim-interview. Halafu mimi nina ugonjwa fulani hivi, kama nampenda mtu au nam-admire mtu nanayamazaga kimyaa,” aliongeza Vanessa.
 
“I was just like…. And he was so nice, he was like ‘ooh my God you’re so pretty’, like ‘they had to put your face on MTV’. I was like ooh my God ataniua…sasa sijui hata jinsi ya kujibu ni kama lugha inanipotea.” 
 
Vanessa alidai kuwa Baba Blue Ivy ni mtu poa tofauti kabisa na watu wanavyomchukulia.
 
“He was so nice, very calm. Nikamkumbusha kwamba walikuja Tanzania… and he was like ‘yeah Tanzania is a beautiful country’. Yaani very nice guy, very diplomatic. Halafu hana majidai ya ajabu, labda kwa sababu mimi nilikuwa back stage and there was nobody in backstage,” alieleza Vee Money.
 
Unaweza kusikiliza kipindi chote hapo chini.

Friday, June 19, 2015

Watanzania waonyesha kutoukubali wimbo wa Diamond Platnumz alioshirikishwa na Kcee.

Diamond Platnumz ni moja ya wasanii wanaopata collabo za kimataifa hasa za wasanii wa Nigeria na South Afrika. 

Collabo ya hivi karibuni aliyofanya Diamond Platnumz ni alioshirikishwa na Kcee, Kumekuwa na maoni tofauti ya wadau wa Muziki ambao wameonesha moja kwa moja kuwa hawaukubali wimbo huu.
Haya ni Baadhi ya maoni ya watu mbalimbali katika mtandao wa Jamii Forum..

"Wakuu nimesikiliza tena huu wimbo mpya wa KCE feat Diamond, ni wazi kabisa huenda Dai hakujiandaa au alivamia tu collabo la watu.

    Ukisikiliza kwa umakini utaona kuwa, Sauti ya Dai imebanwa na haisikiki vizuri kabisa, sijui huu ndio ubanajai pua mpya au ndio unaijeria umezidi kwa huyu mzalendo wetu?
My take: Kwa hali hii watanzania tuna haki ya kumpa kura Davido" Hayo ni maoni ya SHARDCOLE.



"Hilo la sauti limeshakuwa tatizo kwake sasa aliwahi haribu hata nyimbo ya Waje Coco, Pia mimi tokea aharibu kwenye ule wimbo wa Prof J siumizi tena kichwa.

Huwezi kulinganisha wimbo wowote alioshiriki diamond na Kiboko Yangu ambapo King aliua vibaya sana.
Hakika Ali Kiba is gifted!" haya ni maoni ya Nifah
credit-hassy

Wednesday, June 17, 2015

Diamond na Wanigeria ni Collabo baada ya Collabo..Kcee Ft.Diamond-‘Love Boat’

KCEEEEEEE
Baada ya Shetta kumshirikisha Kcee kwenye ngoma yake ya ‘Shikorobo’ ambayo mpaka sasa inapewa airtime za kutosha kwenye Tv na radio, sasa msanii huyo amemgeukia Diamond na kuamua kuachia naye nyimbo yake mpya ya ‘Love Boat’.
Nakukaribisha hapa kusiiliza mtu wangu..

Friday, June 12, 2015

Lulu Atoboa Sababu ya Kutofanya ‘Movie’kwa Mwaka Mzima

Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael,’Lulu’amefunguka sababu ya kutofanya filamu kwa mwaka mzima kuwa alikuwa bize na shughuli zingine ikiwemo masomo.

Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa mwaka jana wote alikuwa ‘host’ kwenye mashindano ya kutafuta vipaji vya uigizaji (Tanzania Movie Talents) ambayo ilifanyika karibu mikoa yote,pia alikuwa bize na masomo katika chuo cha  Magogoni akichukua kozi ya Public Administration.

‘’Mwaka jana wote sikufanya filamu kabisa kutokana na kuwa bize kwenye shindano la kutafuta vipaji vya uigizaji na pia shule nayo ilinibana kwahiyo sikuwa na muda wa kufanya filamu,’alisema Lulu.

Aidha alisema kuwa kwa sasa ameingia mzigoni kufanya filamu yake mpya ambayo hajaipa jina bado chini ya kampuni yake ya Proin Promotion ambayo itakuwa na wasanii mbalimbali kama Dude na wengineo.

‘Filamu hii inahusu maisha,mapenzi na komedi kidogo na kwa sasa hivi nitakuwa natoa filamu mbili kwa mwaka ndiyo utaratibu niliojiwekea,’aliongeza Lulu.

Cloudsfm.com

Thursday, June 11, 2015

Diamond Platnumz Kuperform Nana for the first time in South Africa Mtv MAMA nominees Announcement

Diamond Platnumz Kuperform Nana for the first time in South Africa Mtv MAMA nominees Announcement....Diamond Ameweka picha na Kuambatanisha Maneno Haya Hapa chini kwenye Ukurasa wake wa Instagram:

Tuesday, April 14, 2015

HII NDIYO ORODHA YA WASANII MATAJIRI BARANI AFRIKA

10) Jose Chameleone (Uganda)

9) Banky W (Nigeria)

8 )Hugh Masekela (South African)

7) Tuface Idibia (Nigeria)

6) Fally Ipupa (DR Congo)

5) Salif Keita (Mali)

4) Kofi Olomide (DR Congo)

3) D’Banj (`Nigeria`)

2) P-Square (`Nigeria`)

1) Youssou N’dour (`Senegal`)

Wednesday, April 1, 2015

Dillish: Hela Nilizoshinda Big Brother Afrika Zimekwisha Zote

Dillish Mathews, mshindi wa shindano la Big Brother Africa mwaka juzi, amedai kuwa amemaliza fedha zote alizoshinda.

Mrembo huyo wa Namibia aliyejishindia zaidi ya shilingi milioni 500 amepost video kwenye mtandao wa Instagram na kuongea maneno ambayo wengi wamechukulia kama utani kuwa hana tena fedha hizo.

“About what I did with my money that I got from Big Brother? It’s finished. A couple of Rolexes, kept going to Milan, London, Hong Kong, Shanghai…it’s finished. Kapu,” anasikika akisema kwenye video hiyo.

Kwenye video hiyo aliandika: Read on social media im broke… So here it is just in case your life depended on it. I don chop finish”

Hata hivyo wengi wamekerwa na kauli yake.

Thursday, January 29, 2015

BBA WINNER, IDRIS RECEIVED THIS LOVE LETTER FROM HIS LOVER; SAMANTHA LOVE IS MADE OF THIS

>Wednesday, January 28, 2015 – The love between BBA winner, Idris, and his South African lover, Samantha, who he met in the house seems to be going steady. Apparently plans are underway for the couple to tie the knot after Samantha met Idris’ family late last year.

Samantha wrote this love letter for him on social media for his birthday;

"After the stunt you pulled on my birthday . I now feel like I need to write a poem and have it co written by the likes of Maya Angelo and post it on a Billboard .May her soul rest in peace . But since she's not around I figured I only have my 'talents' and honesty to depend on. 

Happy Birthday !!!

The day we met properly was the day you asked me if I'll marry a Muslim and I said no while laughing deep down cause I knew you were Muslim you then walked away and said kill yourself . I knew then even though we in a show nothing about you was scripted .

You are one of thee most sincere, genuine, kind hearted , funniest ,humbled sinners I know and even though you can be a douche sometimes I appreciate that. You've become apart of my life and I can't go a day without talking to you,most of the time one telling the other 'Kill yourself''

You make me laugh even if I don't want to.

You have my back even when i don't expect it or feel I deserve it.

You show me right from wrong .

You understand me which I don't know how. Cause I sometimes don't understand myself . The truth of the matter is you still keep me sane . So I really don't have a choice but to wish you a Happy Birthday and many more .

Cause quite frankly who else is gona do all of that for one person so I kinda need you around . And in turn you can trust that I'll always have your back no matter what . I'll always be here when the world looks tough Always try my best to keep that stupid smile .

And give up a couple of shillings just to hear you laugh. Love you for all the things you never knew you were doing God Bless. Happy Birthday Idrisi
��
"

Wednesday, January 28, 2015

UJUMBE MTAMU WA MAPENZI TOKA KWA SAMANTHA KWENDA KWA IDRIS SULTAN MSHINDI WA BIG BROTHER AFRIKA

Leo ni birthday ya mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan.

Kupitia pongezi alizopewa na swahiba yake wa Afrika Kusini, Samantha Jay, tumegundua kitu – isingekuwa tofauti ya kidini kati yao, Idris angefikiria kumfanya mrembo huyo mke wake.

Soma pongezi hizo ndefu za Samantha hapo chini:

After the stunt you pulled on my birthday . I now feel like I need to write a poem and have it co written by the likes of Maya Angelo and post it on a Billboard .May her soul rest in peace . But since she’s not around I figured I only have my ‘talents’ and honesty to depend on . Happy Birthday !!! The day we met properly was the day you asked me if I’ll marry a Muslim and I said no while laughing deep down cause I knew you were Muslim you then walked away and said kill yourself . I knew then even though we in a show nothing about you was scripted.

You are one of the most sincere, genuine, kind hearted , funniest ,humbled sinners I know and even though you can be a douche sometimes I appreciate that. You’ve become a part of my life and I can’t go a day without talking to you, most of the time one telling the other ‘Kill yourself” You make me laugh even if I don’t want to. You have my back even when i don’t expect it or feel I deserve it. You show me right from wrong.

You understand me which I don’t know how. Cause I sometimes don’t understand myself . The truth of the matter is you still keep me sane So I really don’t have a choice but to wish you a Happy Birthday and many more. Cause quite frankly who else is gona do all of that for one person so I kinda need you around . And in turn you can trust that I’ll always have your back no matter what . I’ll always be here when the world looks tough Always try my best to keep that stupid smile . And give up a couple of shillings just to hear you laugh. Love you for all the things you never knew you were doing God Bless. Happy Birthday Idris.”

Monday, January 26, 2015

IDRIS WA BBA ABAKIZA MIL. 200 BAADA YA KUTUMIA MILIONI 300 KUNUNUA NYUMBA

Mambo ya fedha! Takribani wiki saba tangu anyakue zaidi ya Sh. Milioni 500 baada ya kuibuka mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan anadaiwa kubakiza takribani kiasi cha Sh. milioni 200 baada ya kudaiwa kununua mjengo wa ghorofa wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 300.
Kwa mujibu wa Idris, nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar hivyo kwa sasa naye ni baba mwenye nyumba

. 

Mjengo wa ghorofa uliononuliwa na mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan.
 Jamaa huyo alitarajia kuhamia kwenye mjengo huo jana Jumapili.
Mjengo huo una vyumba kadhaa, sebule mbili, bustani na eneo la kutosha la maegesho ya magari.
Habari zinadai kwamba kama kweli ametumia kiasi hicho cha fedha huku akimshukuru mtu aliyemtaja kwa jina la Mohamed kwa kufanikisha jambo hilo, basi atakuwa amebakizi milioni 200 ambazo wataalam wa mambo ya uchumi wanamshauri kufungulia kampuni au biashara.


Idris Sultan akipozi mbele ya mali zake.
 Wataalam hao walifafanua kwamba, Idris anatakiwa kuzitumia fedha hizo kujiongezea kipato la sivyo atazitumia kuhudumia nyumba hiyo kwa vitu kama kulipia bili mbalimbali, kodi na kuajiri wahudumu.
“Anaweza akaona kwamba kununua nyumba ni matumizi mazuri ya fedha alizoshinda lakini anatakiwa awe makini, aidha kwa kufanyia biashara au kutoa huduma itakayokuwa ikimwingiza kipato.

 “Pia asisikilize watu wanasema nini juu ya fedha zake. Anatakiwa kutimiza ndoto zake alizokuwa nazo kabla hajazipata,” alisema mmoja wa wataalam hao ambaye hakupenda jina lake liandikwe.

Friday, January 23, 2015

IDRIS SULTAN ATOA JIBU KUHUSU MJENGO WAKE MPYA KAMA AMENUNUA AU AMEPEWA

Swali lililokuwepo kuhusu mjengo wa kifahari ambao mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan ni kama amenunua au amepewa, na tayari mshindi huyo wa $300,000 za Biggy ametoa jibu.

Idris amesema mjengo huo ni wa kwake, na ni zawadi kutoka kwa aliyekuwa boss wake:

Sasa hivi nina status flani kwahiyo natakiwa kujiweka vizuri kwasababu ni kioo cha jamii honestly I need to have a good house, Alikuwa boss wangu ni mwenye kampuni ya Alosco, niko nae karibu, amenipa, amenipa ina kama muda, nahamia huko Jumapili.” Amesema Idris kupitia 255 ya XXL ya Cl;ouds Fm.

Idris alipost Instagram picha ya nyumba hiyo iliyoko Mbezi na kumshukuru mtu aliyempa aitwaye Ghalib Said Mohammed ambaye alikuwa ni boss wake.
Idriss Sultam BBA Winner 2014

I have seen thousands of people through my life time, got helped and expected to do alot in return, broken and crushed with no one to pick me up. I have struggled from ground level with all sorts of sayings like “you will never make it” to where i am now. I have shaken millions of hands not knowing who has good intentions with me. The world is for everyone who has a dream and a good will to it. The world is for all who want to change lives and make people smile. The world full of good hearted people is a dream. I stand today and say “my name is Idris Sultan and am not that special, that unique, that strong than most of you. I just dared to go for what i want, put my heart to it and here i am today. This is just the beginning. You’re welcome to join.” Ghalib Said Mohammed you’re a man with a golden heart i will love to be like you in a blink of an eye. Thank you for my new house. #Godbless #Alhamdulillah #GSM #dream #achieve #dare #youCan #success

Thursday, January 22, 2015

IDRIS MSHINDI WA BBA AONYESHA NYUMBA YAKE ALIYONUNUA NA KUTOA UJUMBE MKALI KWA MASHABIKI WAKE

"I have seen thousands of people through my life time, got helped and expected to do alot in return, broken and crushed with no one to pick me up. I have struggled from ground level with all sorts of sayings like "you will never make it" to where i am now. I have shaken millions of hands not knowing who has good intentions with me. The world is for everyone who has a dream and a good will to it. The world is for all who want to change lives and make people smile. The world full of good hearted people is a dream. I stand today and say "my name is Idris Sultan and am not that special, that unique, that strong than most of you. I just dared to go for what i want, put my heart to it and here i am today. This is just the beginning. You're welcome to join." Ghalib Said Mohammed you're a man with a golden heart i will love to like you in a blink of an eye. Thank you for my new house" Idris