Showing posts with label AFYA. Show all posts
Showing posts with label AFYA. Show all posts

Tuesday, June 7, 2016

Kipindupindu Chatafuna Milioni 900


Serikali imetoa Sh900 milioni kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu nchini. Fedha hizo zilitolewa katika kipindi cha Novemba mwaka jana.

Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alisema watu 21,634 waliugua ugonjwa huo na wengine 338 kufariki dunia tangu ulipolipuka Agosti 15 mwaka jana.

Kuongezeka kwa kasi ya kusambaa ugonjwa huo nchini na ongezeko la wagonjwa na vifo kulimfanya Rais John Magufuli kufuta sherehe za Uhuru (9 Desemba) na kuwataka wananchi wote akiwamo yeye kushiriki usafi wa maeneo yao ya kuishi kuepuka ugonjwa wa kipindupindu.

Alisema kuenea kwa ugonjwa huo nchini ni aibu kwa kuwa unatokana na uchafu ambao unaweza kusafishwa bila gharama yoyote.

Waziri Ummy alizungumzia mgawanyo wa fedha hizo kuwa Sh520 milioni ziligawanywa kwenye mikoa iliyoathirika na ugonjwa huo, Sh251.1 milioni zilitumiwa kununulia dawa na vitenganishi.

Alisema Sh328.8 milioni zilitumika kwa kamati za afya kitaifa na pia kutekeleza shughuli mbalimbali za uelimishaji jamii, mafunzo ya wataalamu wa afya na kuwapeleka katika mikoa ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa huo.

Waziri huyo alisema takwimu za mwezi uliopita zinaonyesha kuwa idadi ya wagonjwa imepungua, sambamba na idadi ya mikoa na wilaya.

“Ifahamike kuwa maji na mazingira yetu bado yanaweza kutunza vimelea hawa wa kipindupindu na jitihada tulizojiwekea, nasisitiza ziwe endelevu kwa mikoa yote,” alisema Waziri Ummy.

Saturday, April 9, 2016

Kunyonya Nyeti Ni Utamu Madhara Yapo Usipo Kuwamakini, Ila Namna Ya Kunyonya, Kuwa Mjanja Jifunze Hapa

 
                         
Kuna maneno mengi sana yanazungumzwa kila kukicha kuhusu tabia ya mwanaume kumnyonya u*ke mwanamke  kama moja ya njia rahisi sana ya kumfikisha mwanamke kileleni.                         

Wapo baadhi wanajaribu kuelezea juu ya madhara
apatayo  mwanaume kunyonya kuma mchezo ambao maarufu unaitwa kuzama chumvini au uvinza,

Siwezi kuwa mnafiki kwa kusema mchezo huu hauna madhara kwa mnyonyaji la hasha nitakuwa nawaongopea,


Nilichoamua kuwashirikisha siku ya leo wapendwa ni juu ya ukweli halisi kwa wapendaji wa mchezo huu kwani si ajabu kukuta mtu akikemea na kupinga vikali juu ya unyonyaji u*ke akisema ni mchezo mchafu na wenye madhara na haupaswi kabisa kufanywa, 


Mara nyingi watu hawa wamekuwa wakionesha matokeo mabaya (athari) zaidi na kuto zungumzia juu ya faida yoyote ipatikanayo kwa wawili hao katika mchakato mzima wa kuridhishana.



Wapo wengine pia wanaotetea juu ya kamchezo haka katamu na kenye kumnyegesha kwa haraka zaidi mwanamke na kumfanya hata aanze kuzungumza vitu asivyovijua kutokana na raha aipatayo hasa pale ulimi unapokuwa kunako kisimi na sehemu nyinginezo.

Kundi hili pia la watu husahau kusema madhara ambayo huweza mwanaume kuyapata kutokana na kamchezo haka hasahasa kama amekurupuka
tu kufanya haka kamchezo.

Leo naomba nitumie fursa hii kuondoa mzizi wa fitna kuzungumza ukweli halisi juu ya mchezo huu, haya sasa twende sawa:- 



*Mchezo huu unamadhara tu iwapo mwanamke atafanya makosa kama vile kunyonywa akiwa hajajisafisha vizuri kwa sabuni zenye dawa(medicated soap)katika kona zote muhimu za uch wake kuanzia nje kabisa,maeneo ya kinembe,kwenye visikio na ndani kabisa kona zote. 

Usafishaji huu unahitaji muda wa kutosha usiopungua dakika 45,usione kuchelewa ukakimbilia kwenda kutiwa mdada japo mbo*o tamu sana lakini subira muhimu dada.

*Kunyonya ku*ma pasipo kusafisha vizuri huweza kusababisha mnyonyaji kupata fangasi au maambukizo ya magonjwa ya zinaa kama vile virusi vya ukimwi na kisonono kwa urahisi zaidi kwani u+ke huwa na majimaji ambayo huweza kuhifadhi vijidudu vinavyoweza kuleta madhara kwa mnyonyaji.

*Lakini pale ambapo mwanadada ametumia muda wa kutosha na umakini wa hali ya juu na kufanikisha kuikosha vizuri uke(ku_ma)yake hakika ni wakati murua wa mwanaume wake kuenjoy na kufaidi utamu uliopo kila sehemu katika k* ya mwenzawake,

kwa uzoefu wangu u_ke ukisafishwa vizuri kabisa na kukaushwa maji maji hakika mwanaume anaweza jisahau ukataka hata usitoke badala yake uendelee kuifyonza jambo litakalofanya mpenzi wako aanze kurusha miguu huku nakule,akate kiuno hapa na pale,atoe sauti hii mara ile na mwisho hujikuta akifika kileleni kwa kumwaga majimaji yanayoashiria kilele cha utamu.

*Kwa haraka haraka kabla ya kupeleka mdomo wako uchini mwake hakikisha unamchezea sehemu zingine kama vile chuchu zake,makalio yake,masikio yake bila kusahau kumnyonya ulimi wake kwa taratiibu huku ukiachia pumzi pole pole jambo linalomfanya asikie raha ya ajabu. 

Baada ya kufanya hivi kwa muda wa kutosha ndipo ushuke chini na kulamba lamba u_ke wake hata kabla hajachojoa chupi,pitisha pitisha ulimi wako juu ya chupi usawa wa k* yake,waweza penyeza ncha ya ulimi wako pembeni mwa chupi ili uguse ku_ma yake mithili ya kitoto cha nyoka kinachungulia shimo la panya.

Baada ya kufanya utundu kadha sasa waweza mvua chupi mpenzi wako na taratibu anza
kunyonya chini kidogo ya kine_na huku ukibusubusu mara kadhaa na taratiibu anza kushuka kwenye kinembe na ukibusu baada ya hapo anza kukinyonya taratibu huku ukikipulizapuliza ili kuamsha spidi ya mzunguko wa damu.

Kelele za mnyonywaji haziwezi kukatika kwani raha anazozipata mnyonywaji anashindwa aongee lugha gani aeleweke. 


Baada ya kutoka kwenye kine_mbe waweza lamba na kunyonya mashavu pamoja na sehemu ya ndani ya uke wa mpenzi japo nguvu za ziada inatakiwa zielekezwe kwenye kinembe kwani ndio sehemu rahisi zaidi kumfikisha mwanamke kileleni usipokuwa mwangalifu mwamke anaweza hata kubweka kwa kuzidiwa utamu!!!! 


Chumvini kuna starehe usiambiwe ila usafi ni jambo la kuzingatia sana ili kuepuka maradhi.

Thursday, April 7, 2016

Kinywaji Cha Red Bull ni Hatari Sana Kwa Afya Yako..Chakua Tahadhari

RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania, watu wazima na watoto wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo. Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika maabara za kijeshi za Marekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi ya wananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini. Kemikali hizozilitumika pia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai (“stress coma”).

Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida! Duniani kinywaji hiki
(RED BULL) huuzwa kama kitu cha kuleta msismko (Energizer Drink) na matangazo
yake yanataja sifa zake kama ifwatavyo. “Ni kinywaji kinachompa mtu nguvu ya kustahimili na umakini. Humpa mtu kasi ya vitendo” na kadhalika.

RED BULL imesambaa katika nchi 100 kwa mpigo (nchi masikini!). Na matangazo yake huwalenga vijana na watoto, hasa wanamichezo. Hawa ni rahisi kushabikia kinywaji hiki kibaya na kudhurika kiafya baadaye. Katika hali yake ya matumizi ya sasa kinywaji hiki kiligunduliwa na Mjerumani Dietrich Mateschitz ambaye alikikuta huko Hong Kong kikiwa ni mojawapo ya madawa yaliyotumika katika kutengeneza dawa ya mswaki wa meno.
Dawa hiyo ilitengenezwa kwa kemikali ambazo zina kafeni na taurini (“caffeine and “taurine).

Mjerumani huyo aliona vijana wajinga wa huko wakishabikia unywaji wake akaona mwanya wa kufanya biashara na akafanikiwa kukileta ulaya. ATHARI ZA KUNYWA RED BULL Kinywaji kinachotengenezwa na kusambazwa leo hii kina kemikali mbaya iitwayo “Glucuronolactone”, kemikali hatari ambayo ilitengenezwa na idara ya jeshi la Marekani wakati wa vita na Vietnam kwa ajili ya kutuliza mvurugiko wa mawazo wa maaskari wake uliotokana na mauaji ya kinyama waliokuwa wanafanya huko Vietnam.

Kwa sababu ya madhara makubwa ya kinywaji hiki nchi za FRANCE na DENMARK zimepiga marufuku kinywaji hiki na kibatiza jina la “MKOROGO WA UMAUTI”. Katika nchi hizi, utafiti uligundua kuwa maaskari wa Marekani waliotumia kinywaji chenye
kemikali ya “GLUCURONOLACTONE” waliishia kupata madhara ya maumivu makali ya kichwa, uvimbe wa ubongo na hata ugonjwa wa ini (Migraines, Cerebral tumours and liver diseases).

Na kwa sababu hiyo wamarekani waliacha kuwapa maaskari wao hicho kinywaji katika miaka ya sitini na sabini. Jambo la kushangaza ni kuwa lebo ya RED BULL inaonyesha wazi kuwa kinwaji hiki kimetengenezwa kwa kemikali hatari ya “GLUCURONOLACTONE”! Ni kwa sababu hiyo serikali za Denmark na Ufaransa nazo zikapiga marufuku unywaji wa RED BULL. Pamoja na wauzaji wa RED BULL kuweka bayana kuwa ndani mwake mna hiyo kemikali hatari ya “GLUCURONOLACTONE” lebo ya RED BULL hailezi madhara makubwa yanayoletwa na kemikali hiyo.

Madhara ambayo hayakuwekwa bayana kwa mnywaji ni kama yafuatayo:

1. Ni hatari kwa mtu ambaye hafanyi kazi au mazoezi mazito sana kukitumia kwani kina tabia ya kuongeza msukumo wa damu na kasi ya mapigo ya moyo kiasi kwamba mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo.

2. Mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa damu kuvuja ubongoni kwani RED BULL ina kemikali zinazoifanya damu iwe nyembamba ili moyo upate kusukuma damu nyingi bila kutumia nguvu nyingi.

3. Ni hatari kuchanganya RED BULL na pombe ya aina yoyote kwani mchanganyiko wake huwa ni sumu (“Deadly Bomb”) inayoathiri musuli za ini la mtumiaji na kuiacha katika hali ambayo haitapona kamwe.

4. RED BULL Ina vitamini B12 kwa wingi, vitamini ambayo hutumiwa kama dawa ya kuwazindua wagonjwa mahututi. Matumizi ya vitamini hii katika watu wazima ina athari za kuleta shinikizo la damu na humfanya mtu ajisikie kama mlevi.

5. Unywaji wa RED BULL mara kwa mara huvuruga mfumo ya neva za fahamu na husababisha maradhi mithili ya mfadhaiko wa akili usioponyeka.

HITIMISHO:
RED BULL ni kinywaji HATARI SANA ambacho hapana budi kipigwe marufuku katika nchi zote zinazoendelea kwani ni dhahiri kimetengenezwa na kusambazwa ili kiathiri afya za wananchi wasiojiweza wa nchi hizi masikini. Kwa kuwa wengi katika nchi hizi hutumia pombe za kila aina ni wazi kuwa kinywaji hiki kinalenga kuwamaliza watu watu wetu– kana kwamba ukimwi uliobuniwa na hao wabaya wetu hautoshi!

Wednesday, April 6, 2016

TAHADHARI: Mboga za Majani Wanazokula Wakazi wa Dar es Salaam ni Sumu Tupu


Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani

Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo ya Tandale na kwingineko
maji yanayopita kwenye mabonde haya ni machafu, yenye kemikali toka viwandani, yenye vinyesi toka vyooni nk ndio hayo hayo yanayonyweshea mbogamboga hizi tangu kuchipua hadi kukomaa.

Kwa vyovyote vile, maji haya yakipimwa ni wazi yatakutwa na kiwango kikubwa cha sumu mbalimbali zinazosababisha magonjwa kansa na ngozi.

Uchafu tunaoutupa kwenye mito ipitayo kwenye haya mabonde kama betri za simu na magari material za friji mbovu, computer mbovu nk nk vyote hivi vimebeba kemikali zenye sumu kali.

Tusipochukua tahadhari tutaishia kuongeza vyumba pale Ocean road kwenye ile hospital ya kansa

Sunday, April 3, 2016

Unajua Madhara Ya Dawa Za Kusimamisha Uume Kwa Muda Mrefu?

Kuna baashi ya wanaume wanatamani wakati wakiwa wanafanya mapenzi na wenzi au wapenzi wao basi mboo zao ziwe zinasimama muda mrefu mathalani masaa matatu au manne au zaidi huku wakimwaga shahawa eti tu wawaridhishe wenzi wao au ili waonekane ni wanaume waliokamilika.

Wanaume wengine wamekuwa wakitumia dawa za kusimamisha mboo kama vile viagra au dawa za asili na zingine maarufu kama dawa za kimasai! Napenda nikwambie kwamba hizo dawa zina madhara makubwa kwa urijali wako na uko hatarini kuupoteza hata huo urijali mdogo uliosalia!

Kusimamisha mboo kwa muda mrefu na mara nyingine kiasi cha kufikia mboo inaanza kuuma kutokana na kusimama muda mrefu tayari ni ugonjwa. Kwa maneno rahisi ni kwamba umetumia dawa za kuongeza nguvu ili kuua nguvu chache ulizokuwa nazo. Kitalaamu hali hiyo ya mboo kusimama muda mrefu na kuuma inaitwa 'Priapism'. Priapism hutokea pale mboo inapopoteza uwezo wake wa kuondoa damu iliyoko kwenye mboo hiyo (ambayo hufanya isimame) ili isinyae (in order to become flaccid). Hiyo hali ikidumu kwa muda wa masaa manne husababisha seli za damu iliyoko kwenye mboo kukosa hewa ya oksijeni, hivyo kupelekea tishu katika mboo kufa. Na kadri hali hiyo inavyoendelea hupelekea damu kwenye mboo kuwa na asidi na hivyo kukosa uwezo wa kusafiri au kutembea kwenda sehemu zingine za mwili hususan kwenye moyo! Hapo hali inakuwa mbaya sana!

Kuna wanaume wengine wanaji-overdose viagra au madawa ya kienyeji ili wawe wanaume shababi kwelikweli kumbe ndio wanaua mboo zao. Ndio maana watu wanaotumia madawa hayo baada ya muda fulani hali zao za kiume zinakuwa mbaya zaidi afadhali ya jana! Ndio maana humu katika blog nimesisitiza sana matumizi ya vyakula na viungo kama tiba ya tatizo la ngivu za kiume! Siwashauri kutumia hayo madawa, otherwise, keep using them for your own risk!

Bahati mbaya au vyovyote vile kama umesimamisha mboo masaa kadhaa hakikisha katika kipindi cha ndani ya masaa manne tafuta tiba haraka kwa daktari! Wengine baada ya kutumia hayo madawa na mboo kusimama kama msumari masaa mengi wao hudhani dawa ni kufanya mapenzi masaa mengi na mwanamke ili kuondokana na hali hiyo! Tena wengine ndo hufurahia eti 'leo mwanamke fulani nitamfaidi kweli...'. My brother you are killing yourself'!!! Hutoweza kumkomoa mwanamke kwa kufanya mapenzi! Matibabu ya tatizo hilo ni kunyonya damu kwa kutumia sindano itakayochomwa kwenye mshipa wa damu uitwayo vein kwenye mboo yako! Mwisho nakushauri kula sana vyakula vya asili kama matunda na mboga za majani. Usisahau mazoezi ya viungo. Next time tutaona namna ya kukabiliana na tatizo la nguvu za kiume ingawa nimegusia gusia katika bloga hii katika mada kadhaa!

Saturday, April 2, 2016

Njia Bora Na Salama Kabisa Kwa Akina Dada Ya Kuboresha Makalio

KUNA kitu ambacho wengi wetu huwa hawakifikiriii nacho ni makalio.Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa  sana na watu wa Televisheni ya  Jeniffer Lopez hayawezi kufua dafu.

Wanawake wengi kwa sasa wanakwenda kuboresha makalio yao ili kuyapatia ukubwa unaostahili kwa jinsi wao wanavyopenda.

Tatizo hili halipo hapa nchini lakini wapo walionituipia swali sasa inabidi nikiri kuwa lipo sana marekani na mpasuaji wa masuala ya urembo wa Miani Dk Costantino Mendieta amethibitisha.
Katika fasihi yake mtaalam huyo amezungumzia sana utunzaji wa makalio kwa kuyagawa katika madaraja manne.

Anasema makalio daraja la kwanza ndiyo yanayotakiwa sana > Ni kama vile umechukua moyo halafu ukaugeuza chini juu haya ndiyo dizaini ambayo Marekani wanalilia sana. Watu wa huko wanajimwaga katika majumba ya upasuaji kupata shepu hiyo adimu.

Hatua hizo ni kama ifuatavyo.

  1. fanya masaji na losheni zinazoimarisha na kutengeneza ngozi mwororo katika mapaja yako ukianzia chini ya makalio mara mbili kwa siku.
  2. Ondoa miinuko midogo midogo isiyotakiwa ni yako kwa kuskrabu mara mbili au tatu kwa wiki ukitumia salt scrub.
  3. Pamoja na matatizo ya michuchumio, ivae ili kukupa nafasi ya kutembea kwa miondoko ya twiga inayotoa nafasi nzuri kwa makalio kuwa na mvuto.
  4. tafuta namna nzuri ya kuficha michirizi ya kunyooka kwa misuli ya mwili.
  5. Mazoezi yatakufanya uwe mtu tofauti zaidi pandisha ngazi kwa dakika kumi au zaidi na chukua mazoezi ya kubana makalio yako na sehemu za kiuno kwa kusukuma kwa ndani na kutulia hivyo kwa sekunde tano na kujiachia na unaweza kufanya hivyo unavyotaka.

Pia unaweza kuongeza uzuri wa makalio yako kwa kuhakikisha unakula vyema na unakula inavyostahili

Hizi Ndio Dawa Zitakazo Kusaidia Kuongeza Nguvu Wakati Wa Tendo La Ndoa

Jamani wenzangu nina jambo mlikuwa mnajua kama mdalasini, asali na tango ni dawa ya kumpa mtu nguvu kwenye mechi? kama ulikuwa hujui ndio ufahamu eti..

kuna dada mmoja alikuwa analalamika mpenzi wake nguvu kitandani hana, anasema jamaa akishatoa moja tu basi nguvu zote zinaisha jamaa hawezi hata kurudia ya pili, na hapo mwanamke wake huyo anakuwa hajatosheka lakini jamaa hajiwezi kabisa..

sasa huyu dada akawa anaomba ushauri kwa watu wazima akiwaeleza swala lake na mumewe watu wengi wakawa wanamshauri mengi tu pamoja na ya kwamba mumewe anywe maji ya mchele yale ya kwanza, sijui mwengine akamwambia anywe maji ya madafu kwa wingi na wengine wakimwambia aende kutafuta dawa za miti shamba...

 

 
akafika kwa bibi mmoja wa zamani (umri umeenda) yule bibi akamwambia yule dada ampe mumewe mdalasini pamoja na asali achanganye kwa pamoja atie na maji ama aiweke kwenye chai, halafu kila chakula cha yule baba kisikose kipande cha tango..

yule dada akafanya kama alivyoambiwa na yule bibi, sasa hivi dada anafuraha mambo si shwari, kwahiyo huu ni ushauri tu ya kwamba ukiona mwezio nguvu hana akienda moja anahema kama kasukuma trekta, mwanaume anahema kama presha imeshuka (hehehe) basi sio vibaya ukijaribu hayo..

lakini naomba niseme sio tu kwasababu huyu dada yeye mpenzi wake alipata nafuu ndio kila mtu itakuwa hivyo wengine vyao vya kurithi utalisha hivyo vitu milele jamaa hata kubadilika asibadilike...

Thursday, March 31, 2016

Sigara Na Madhara Yake

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kutegea sikio kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia madhara ya kuvuta sigara, tabia ambayo imezoeleka na watu wengi ingawa ina madhara mengi. Ili kuweza kuyajua madhara hayo kwa undani, usiondoke kando ya redio yako hadi mwisho wa kipindi hiki.

Kemikali zenye madhara zilizo kwenye sigara
Ufutaji sigara huathiri mwili kwa njia tofauti na madhara yake ni makubwa kiafya. Inakadiriwa kuwa, hadi sasa kumegunduliwa kemikali zipatazo 7,000 katika moshi wa sigara ambapo 250 kati ya hizo ni sumu na 70 zinasababisha kansa. Mvutaji mdogo hutumia nusu ya pakiti ya sigara kwa siku na kujikuta akiathiri mwili wake kwa kemikali hizi mara 3500 kwa mwaka. Mada na kemikali zilizo kwenye sigara huathiri karibu kila kiungo mwilini kuanzia seli hadi mfumo wa kulinda mwili.

Kemikali zilizoko kwenye moshi wa sigara huingia katika mapafu na kuenea katika mwili mzima na kusababisha madhara makubwa kwa njia mbalimbali. Ingawa mada hizo haribifu zilizoko kwenye moshi wa sigara ni nyingi, lakini tatu ni hatari zaidi zikilinganishwa na nyingine. Mada hizo ni nikotini, carbon monoxide na tar. Nicotine huufikia ubongo sekunde 7 hadi 10 baada ya moshi wa sigara kuvutwa na kemikali hiyo hutapakaa katika sehemu nyingi za mwili hata katika maziwa ya mama. Nikotini ni kemikali sumu ambayo kwa muda mrefu sana inatumiwa kama dawa ya kuuwa wadudu na sumu ya panya. Inachukua nafasi ya pili kama sumu kali kabisa kutokana na athari yake mbaya kwa mwili wa binadamu.

Tar ni kemikali inayosababisha kansa mwilini inayopatikana katika tumbaku ambayo huharibu jeni muhimu zinazozuia ukuaji holela wa seli ili zisiwe za saratani. Hii ni katika hali ambayo Carbon monoxide ni gesi yenye madhara inayopatikana katika moshi wa sigara ambayo hujishikiza katika hemoglobin kwenye seli nyekundu za damu na kuzizuia zisiweze kubeba vyema oksijeni kama inavyotakiwa. Suala hilo husababisha mtu apatwe na dalili za kuwa na sumu ya gesi hiyo mwilini.
Tunapaswa kujua kuwa, kuvuta sigara huwasababishia maradhi mbalimbali wenye kuvuta sigara kwa kiwango kikubwa ikilinganishwa na wasiuovuta. Miongoni mwa maradhi hayo ni magonjwa ya moyo, kiharusi, kansa ya mapafu, matatizo katika mfumo wa kupumua yanayojulikana kama COPD na mengineyo.

Magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na uvutaji sigara
Nchini Marekani pekee kuvuta sigara kunakadiriwa kusababisha vifo karibu vya watu laki 5 kwa mwaka. Duniani kote watu milioni 5 hupoteza maisha yao kila mwaka kutokana na kuvuta sigara ambapo kiwango hicho kinatarajiwa kuongezeka na kufikia vifo milioni 8 ifikapo mwaka 2020.

Wataalamu wanasema kuwa, kama watu wataacha kuvuta sigara vifo vitapungua kwa theluthi moja nchini Marekani. Sigara pia husababisha kwa karibu asilimia 90 ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambapo huwapata zaidi wanaume kuliko wanawake.

Uvutaji sigara husababisha madhara mbalimbali mwilini miongoni mwayo ni: Kuharibu utando mlaini katika njia za hewa. Kwa kawaida njia ambayo pumzi hupita hufunikwa kwa utando laini ambao huzuia vumbi linaloingia pamoja na hewa kwenye mapafu.

Kemikali zinazopatikana katika moshi wa sigara huganda katika utando huu na kusababisha njia hiyo kuwa nyembamba kutokana na kuongezeka takataka na kemikali dani yake, na hivyo kumfanya mvutaji sigara apate shida ya pumzi.

Sigara pia husababisha au kushashiisha vidonda vya tumbo, kwa kuwa kemikali zilizoko kwenye sigara huchochea utengenezaji wa tindikali tumboni.

Uvutaji sigara pia kusababisha matatizo katika mfumo wa upumuaji ambapo wavutaji hupata shida katika koo na mapafu hivyo kupata kifua mara kwa mara na maumivu na mwishowe kupata madhara makubwa katika mfumo mzima wa upumuaji kutokana na kuharibika kwa alveoli za mapafu (Emphysema). Hii ni kwa sababu harufu kali ya moshi huharibu alveoli ndogo ndogo katika mapafu na kupunguza kwa kiasi kikubwa eneo ambalo oksijeni hukutana na damu.

Hali hii hutokea taratibu sana na kwa muda mrefu. 
Wavutaji wote huwa na tatizo hilo kwa kiwango tofautia, lakini kwa kuwa nje ya mwili kuna oksijeni ya kutosha, watu wengi huwa hawajui kwamba wana hali hiyo. Pia kwa kuwa mapafu yana takriban alveoli milioni 300 hivyo ni vigumu kugundua hali hii na baadhi hujua suala hilo pale wanapofanya mazoezi au kupanda ngazi na kuhisi ugumu wa kupumua.

Mbali na kupata pneumonia na asthma, wafutaji sigara pia huwa na udhaifu wa mifupa (Osteoporosis. Hii ni kwa sababu katika moshi wa sigara kuna mada ijulikanayo kama cadmium inayoweza kusababisha matatizo katika mifupa kwa kuwa hupunguza asilimia 30 ya calcium katika mifupa.

Kwa wanawake, tabia ya kuvuta sigara huzuia ufanisi wa homoni ya estrogen na kitu chochote kinachozuia estrogen kufanya kazi ipasavyo husababisha udhaifu katika mifupa unaosababisha maumivu ya mara kwa mara ya mifupa. Hayo si madhara pekee yanayowapata wanawake wenye kuvuta sigara bali pia, tabia hiyo husababisha wawe wanawahi kumaliza hedhi yaani Menopause.

Kwa kawaida wanawake hufikia mwisho wa kupata siku zao wanapokuwa na umri wa miaka 45 hadi 55, hali ambayo pamoja na mambo mengine humaanisha pia kuwa hawawezi tena kubeba ujauzito. Lakini wanawake wanaovuta sigara hufikia menopause miaka mitano mapema zaidi ya wasiovuta.

Madhara mengineyo ya sigara.
Sigara pia huwaathiri wanawake wajawazito na wajawazito wenye kuvuta sigara huwa katika hatari kubwa ya mimba kutoka, mtoto kufia tumboni, kichanga kuzaliwa na uzito mdogo au hata mtoto kufa mapema pindi atakapozaliwa.Wataalamu wanasema kuwa, kuvuta sigara wakati wa mimba kunapunguza uwezo wa kuzaa watoto wa kiume kwa kuathiri jeni muhimu za umbo la kiume ambapo gameti za kiume hutengenezwa.

Tayari imeshajulikana kuwa kuvuta sigara kunaathiri uzazi wa watoto wa kiume hapo baadaye, lakini bado haijajulikana ni vipi suala hilo hutokea. Si hayo tu bali sigara pia hupunguza uwezo wa seli nyekundu kubeba oksijeni katika damu kama nilivyoashiria huko nyuma. Madhara mengine ya hatari ya kuvuta sigara ni kupata saratani za aina mbalimbali. Imeonekana kuwa, wanaovuta sigara licha ya kukabiliwa na hatari ya kupata kansa ya kifua, pia huweza kupata saratani za ina nyinginezo kama za ngozi, koo, utumbo, kibofu na pia mdomo.

Kemikali za sumu zilizoko katika tumbaku ya sigara huharibu vinasaba (DNA) vya mwili wa binadamu dakika chache tu baada ya mtu kuanza kuvuta sigara. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni, kemikali hizo zinazoitwa Polycylic Aromatic Hydrocarbons (PAHs) husababisha DNA ziharibike na kuongeza uwezekano wa mtu kupata kansa.

Kupungukiwa na vitamin ni tatizo jingine linalowapata wavuta sigara, kwani sigara husababisha upungufu wa virutubisho muhimu mwilini na hasaVitamini C.

Tatizo hilo hutofautiana kati ya wavutaji sigara kwa kutegemea kiasi cha sigara wanazovuta kwa siku. Pia uvutaji sigara unaweza kusababisha kisukari, kwani nikotini iliyopo kwenye moshi wa sigara huchochea sukari katika damu na kusababisha kisukari aina ya pili yaani kisukari kisicho cha kuzaliwa.

Kuvuta sigara kuna madhara kwa kila mtu lakini kwa watu wenye kisukari au wanaokabiliwa na hatari ya ugonjwa huo, uvutaji sigara huwasababishia madhara makubwa kiafya. Wataalamu wanatueleza kuwa, wagonjwa wa kisukari ambao wanavuta sigara, kiasi cha glucose kwenye damu zao huwa juu, hali ambayo husababisha ugonjwa huo usiweze kudhibitiwa kwa urahisi na kuwafanya wagonjwa wakabiliwe na hatari ya kupata madhara makubwa kama vile upofu, uharibifu wa neva, figo na matatizo ya moyo.

Watoto wadogo wanaovuta sigara huweza kupata ugonjwa wa MS
Watu ambao wanaanza kuvuta sigara wakiwa katika umri wa kabla ya miaka 17, wako katika hatari ya kupatwa na ugonjwa wa Multiple Sclerosis au MS.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mkutano wa 61 wa kila mwaka wa Taasisi ya Magonjwa ya Mishipa ya Fahamu ya Marekani, zaidi ya asilimia 32 ya wagonjwa wa MS walikuwa wale walioanza kuvuta sigara katika umri mdogo. Utafiti huo umeonyesha kuwa, wanaovuta sigara katika umri mdogo wana uwezekano wa kupata ugonjwa wa MS mara 2.7 zaidi ya wengine. Utafiti huo haukuonyesha kuwepo hatari hiyo kwa wale wanaoanza kuvuta sigara wakiwa na umri mkubwa.

Ugonjwa wa multiple sclerosisi ni ugonjwa wa mfumo wa kinga ya mwili ambao hutokea pale mfumo huo unaposhambulia mfumo wa kati wa fahamu (central nervous susytem), hali ambayo hupelekea seli za fahamu kushindwa kuwasiliana.

Ugonjwa huo mara nyingi huanza kwa kupoteza hisia mbalimbali mwilini kama kuona, kuhisi, kushindwa kutembea, kupumua na mwishowe kupooza mwili mzima.

Ni vyema kujua kuwa, mbali na madhara mengine mengi, uvutaji sigara unasababisha kwa asilimia 90 vifo vinavyotokana na kansa ya mapafu.

Idadi ya watu wanaopatwa na kansa ya mapafu inaongezeka kila siku duniani na kuzidisha vifo vinavyotokana na saratani nyinginezo. Kwa kawaida kansa ya mapafu huwapata watu wanapokuwa na umri wa miaka 45, na wakati mtu anapopimwa na kukutwa na ugonjwa huo kwa kawaida huwa tayari umeshasambaa mwilini mwake. Saratani ya mapafu inahusiana moja kwa moja na uvutaji sigara.

Hatari ya kupatwa na kansa ya mapafu inaambatana moja kwa moja na idadi ya sigara mtu anazovuta. Kwa sababu hiyo tunapaswa kuacha tabia ya kuvuta sigara na kufanya juhudi kubwa kuwazuia watoto wetu na wanajamii kwa ujumla kuacha tabia hiyo hatari. Katika kipindi chetu kijacho pamoja na mambo mengine tutazungumzia njia zinazosaidia kuacha sigara. Hadi wakati huo, daima tuzitunze afya zetu.

Hizi Ndio Sababu 9 Kwanini Uache Kunywa Soda Kuanzia Leo

Inawezekana una bahati sana kuiona hii makala na itakujenga sana kiafya...tafiti zinasema kwamba mtu mmoja anayekunywa soda moja kwa siku, anakunywa zaidi ya galoni au dumu 56 za soda kwa mwaka. japokua kuna watu wamekiri kunywa hata zaidi ya soda moja kwa siku amabayo huenda wanakunywa zaidi ya hicho kipimo. biashara ya soda inalipa sana duniani kwani ni kinywaji cha pili kinachoongoza kunywewa duniani baada ya maji.

sasa ukiangalia mahusiano ya unywaji mdogo wa soda kila siku kiafya una madhara makubwa kuliko unywaji mdogo wa pombe kila siku. yaani ni bora unywe chupa moja ya bia kila siku kuliko chupa moja ya soda kila siku. yafuatayo ni madhara ya soda ambayo yatakufanya ufikirie mara mbili kunywa soda tena.

1. Ugonjwa wa kisukari; kunywa soda moja ni sawa na kunywa vijiko 10 vya sukari, baada ya kunywa sukari hupanda sana mwilini na kongosho hutoa homoni ya ili insulini nyingi kushusha sukari. muda unavyozidi kwenda insulini huendelea kuishiwa nguvu[insulin resisitance] na hali hii husababisha kisukari.

2. Unene na kitambi; utafiti ulofanywa na chuo kikuu cha havard umegundua kwamba watu wanaokunywa soda hunenepa mara mbili zaidi ya wale ambao hawanywi hivyo kama uko busy unapunguza uzito na pia mnywaji wa soda basi unapoteza muda.

3. Upungufu wa madini muhimu mwilini; soda ina kemikali inayoitwa phosporic acid ambayo huzuia mwili kuchukua madini ya calcium kwenye chakula ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya mifupa na misuli yenye afya kweye mwili wa binadamu.

4. Ugonjwa wa kansa; soda ina kemikali inayoitwa caffeine ambayo imehusishwa na cancer mbalimbali za mwili mfano kansa ya kongosho, kansa ya utumbo na magonjwa mengine kama presha ya damu na kansa ya matiti.

5. Huongeza sumu mwilini; soda haina lishe wala faida yeyote ile kwenye mwili wa binadamu hivyo huongeza kiasi kikubwa cha sumu mwilini ambacho ni hatari sana kwa afya mtumiaji.sumu hizo huongeza hatari ya kupata ugonjwa wa presha, na kuua figo.

6. Hubadilisha rangi ya meno; kila mtu anataka kua na meno masafi na meupe lakini baadhi ya soda zina kiasi kikubwa cha tindikali ambacho hushambulia na kuharibu meno kwa muda mfupi.hivyo kama unasumbuliwa na meno basi huu ni muda mzuri wa kuachana nayo.

7. Addiction; soda nyingi zina tabia ya kumfanya mtu apate ulevi wa soda husika yaani kuna watu unakuta anapenda sana soda fulani na asipoinywa kwa siku atahisi kama amepungukiwa kabisa na kitu fulani mwilini.hii itakufanya uwe mtumwa wa mwili wako mwenyewe.

8. Huongeza kasi ya uzee; sumu ambazo unazipokea kwenye soda zinazeesha mtu mapema sana yani kijana mdogo wa miaka 20 hujikuta anaonekana kama miaka 35.

9. Hupunguza sana maji mwilini ; soda ina kiwango kikubwa cha madini ya sodium ambayo humfanya mtu abaki na maji kidogo na kwa muda mrefu atapata matatizo mengine ya kiafya kama mawe ya kwenye figo[kidney stone] na mawe kwenye nyongo ya binadamu.

Mwisho; ni vizuri kubadili mfumo wako wa maisha na kuanza kunywa vitu haviharibu mwili yaani badala ya kunywa soda basi tumia juice ambayo ni mbadala mkubwa wa soda, lakini pia unaweza kunywa maziwa na kadhalika.    

Wednesday, March 30, 2016

Haya Ndo Madhara Ya Chai Na Kahawa Kiafya

CAFFEINA/KAFEINA.

Kafeina ni nini?:

1. Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la ‘Stimulants drugs’.
Utashangaa. Habari ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwa sababu amekuwa mtegemezi au teja wa kafeina.

Kafeina ni kiungo mhimu karibu katika soda zote zenye rangi nyeusi; Coca-cola, Pepsi, Sayona nyeusi, Azam cola na kadharika. Kafeina huongezwa pia katika Red bull, Malta na katika baadhi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini.

Kwahiyo Kafeina ambayo hupatikana katika chai na kahawa ni aina mojawapo ya madawa ya kulevya.

2. Kafeina ni kikojoshi (diuretics).
Kafeina ni dawa ya kukufanya ukojowe. Ukinywa kikombe kimoja cha kinywaji chenye kafeina yaani chai au kahawa, basi muda si mrefu utaenda kukojoa vikombe viwili. Kwa sababu kafeina ni taka isiyotakiwa mwilini, mwili utafanya kila uwezalo ikibidi ujikamuwe wenyewe kupata maji ya ziada kuweza kuitoa kafeina hii uliyoinywa kwa kisingizio cha chai, kahawa au soda.

Madhara yake ni nini?, Moja; kama unakunywa kinywaji na muda si mrefu unalazimika kwenda kukitoa inamaanisha kinywaji hicho hakikutumika vema na mwili. Pili; kumbuka ulikunywa kikombe kimoja na umeenda kutoa viwili, hivyo umekopwa maji mwilini mwako na ukumbuke kuwa MAJI NI UHAI.

3. Kafeina husababisha KANSA.
Seli ndani ya mwili lazima zibaki katika kiasi kidogo cha alkalini kutoka 7.2 mpaka 7.4, wakati 7.0 ni ya kati au husemwa sifuri katika kipimo cha PH (potential hydrogen). Chini ya 7.0 ni asidi na juu ya 7.0 ni alkalini. Kafeina yenyewe ni asidi, hivyo ikiwa mtu anafanya chai au kahawa ndivyo vinywaji vyake vya kila siku basi mtu huyo lazima atakuja kupatwa na kansa katika siku za usoni kwakuwa seli za kansa huishi katika hali ya uasidi pekee na kafeina ndimo mazingira mazuri ya kuishi asidi.

Jarida moja la afya la Uingereza, ‘The British Medical Journal Lancet’, limeripoti uhusiano mkubwa uliopo baina ya utumiaji wa kahawa na kansa ya kibofu cha mkojo na kupungua kwa uzarishwaji wa mkojo.

4. Kaffeina huchangia upotevu wa madini na vitamin mhimu mwilini.
Kafeina ambayo ni kikojoshi, huyalazimisha maji kukimbia nje ya mwili kwa haraka na kuziacha seli bila muda wa kutosha kuyatumia maji hayo, maji yanapokimbia kwa haraka nje ya mwili huyakimbiza pia madini mhimu nje ya miili yetu.

5. Kaffeina husababisha kisukari.
Mwili una vyanzo 3 vya nguvu ambavyo ni Sukari, Mafuta, na Maji/Chumvi. Tumesema kaffeina ni kikojoshi, hivyo kaffeina hupelekea upotevu usio wa lazima wa maji mwilini, mwili unapokosa maji kama chanzo chake cha nguvu, moja kwa moja huhamia kuitegemea sukari kama chanzo chake cha nguvu na mwishowe kisukari lazima kitokee.

6. Uchovu sugu.
Wapenzi wengi wa chai ya rangi na kahawa mara nyingi wanapojisikia uchovu hukimbilia kikombe cha kahawa au chai. Kaffeina iliyomo katika chai au kahawa huenda kuiamsha na kuitumia nguvu iliyokuwa imehifadhiwa na mwili kwa ajili ya matendo ya dharura na kukuacha wewe ukiwa huna nguvu ya ziada kwa ajili ya kazi za dharura, matokeo yake ni mwili unakuwa upo katika hali ya msukosuko muda wote.

Utolewaji wa sukari iliyokuwa imehifadhiwa, kunapelekea mfadhaiko mkubwa kwenye mfumo wa dharura wa mwili. Unaposhitushwa kidogo tu, unakuwa na nguvu za haraka (Unahamaki) kushughurika na tatizo. Hali hii hatimaye inaweza kupelekea kukauka kwa tezi ya adreno kutakakosababisha damu chache yenye sukari (hypoglycemia), udhaifu, na kuumwa sana iwapo sukari haitachukuliwa mapema kupandisha juu damu sukari.

Kwa sababu ya biashara kuunda vyakula vyetu vyote maalumu na vinywaji vyenye radha mpya, radha nzuri na nguvu ya kutosha kwa kutumia kafeina toka katika mimea na mitishamba kama vile ginseng kuisisimua tezi ya adreno, kunasababisha Ini kutoa sukari iliyokuwa imehifadhiwa mwilini kwa ajili ya matumizi yake ya dharura.

Hakuna nguvu iliyomo kwenye kafeina au ginseng. Kuna majina mengine mengi ya visisimuwaji hivi kama vile, kokwa za guru, kokwa za cola na mfalme wa yote ni guarana. Mbegu za guarana zina kiasi cha kafeina mara tatu zaidi ya zile za kahawa, na hawatakiwi kuliorodhesha neno kafeina kwenye vifungashio (packages) au kontena.

Ungaunga wa guarana hutumika kutengenezea vidonge vya kupunguza uzito kwa sababu kafeina itazisambaratisha hisia za njaa, lakini hakuna mahala neno kafeina linaonekana kwenye vifungashio vya dawa hizi.

Kuna mimea, kokwa na kemikali nyingi ambazo zitaisisimua tezi ya adreno na kusababisha ini kuitoa sukari iliyokuwa imehifadhiwa au hata kuitengeneza toka tishu za mwili wenyewe ‘(gluconeogenesis)’.

Imethibitika pia kuwa kafeina imekuwa ikiingilia na kuathiri unakilishaji wa kinasaba (DNA), namna ambavyo seli mpya hutengenezwa. Kafeina inaweza kusababisha upotevu toka mwilini wa vitamini nyingi za kundi B, kundi C, zinki, potasiamu na madini mengine. Kahawa huongeza hali ya uasidi kwenye utumbo mdogo.

Kafeina inaweza kusababisha msukosuko ndani ya mwili.
Kafeina siyo kwamba tu huimaliza nguvu iliyokuwa imehifadhiwa kwenye ubongo, bali pia huzuia mfumo vimeng’enya katika kutengeneza kumbukumbu kwenye ubongo.

Kituo cha Sayansi kwa maslahi ya umma (Center for Science in Public Interest) kimewashauri kinamama wajawazito kukaa mbali na kafeina kwa kuwa tafiti zimeonesha kwamba kiasi cha kafeina kilichomo kwenye vikombe 4 vya kahawa kwa siku kinaweza kusababisha matatizo wakati wa kujifungua kama yalivyoonwa katika majaribio kwa wanyama.

‘Madawa na wewe’, kwa mjibu wa Dr. Earl Mindell, mwandishi wa kitabu; ‘Earl Mindell’s New Vitamin Bible’ (zaidi ya nakala milioni 10 zimeuzwa), anasema katika ukurasa wa 414 wa kitabu hicho kuwa ‘kafeina ni dawa yenye nguvu kubwa, uwezekano ni kuwa, hauifurahii tu kahawa au cola yako ya kila siku, bali umekuwa mtegemezi au teja (addicted) wa hiyo kafeina’.

Madhara ya chai ya rangi na kahawa mwilini ni mengi sana na tatizo moja litapelekea lingine na orodha inakuwa haiishi.

Namna ya kuepuka kaffeina kwenye kahawa na chai:
Badala ya kutumia majani hayo ya chai meusi, wewe chemsha maji yako ya chai kama kawaida na unaweza kutumia vifuatavyo kukamilisha chai yako; unaweza kutumia tangawizi na kumbuka pia tangawizi ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini.

Kwahiyo unapoinywa chai ya tangawizi siyo tu unaepuka madhara ya kaffeina peke yake, bali pia unakuwa umekunywa dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini!. Unaweza pia kuweka mdalasini, mchaichai, kukamulia ndimu, pia unaweza kutumia mchanganyiko wa viungo vingi vya chai (spiced tea) ambavyo vinapatikana kwa wingi katika soko la Kariakoo Dar – Es – Salaam na Zanzibar.

Wednesday, March 2, 2016

Kiwanda cha Vipodozi Feki chanaswa Kigamboni Dar


Mamlaka ya chakula na dawa nchini Tanzania TFDA imebaini kuwepo kwa kiwanda bubu kinachozalisha bidhaa za vipodozi nchini Tanzania zenye lebo ya SAME inayoonesha kutengenezwa nchini Uturuki kinyume na sheria na taratibu za kuanzisha kiwanda na bila kukaguliwa na mamlaka hiyo kama ni salama kwa matumizi ya binaadamu.

Akiongea hii leo mkurugenzi wa TFDA Hiti Silo amesema kuwa awali walikamata shehena ya chupa 5,350 za pafyumu zenye thamani ya shilingi milioni 107 na walipomuuliza mmiliki wa duka hilo Dr Mohamed Gwao akasema bidhaa hizo zimeagizwa toka nchini Uturuki lakini walipofuatilia wakagundua zinazalishwa hapa nchini maeneo ya Mbagala Tuangoma

Aidha mamlaka hiyo ilipotembelea eneo hilo ilibaini mitambo mikubwa ya kuzalisha pafyumu hizo na kuchukua vifaa vyote kwa ajili ya kuvifanyia uchunguzi zaidi na watuhumiwa wamefikishwa kituo cha polisi.

Mamlaka ya chakula na dawa nchini inawatahadharisha watumiaji wote wa pafyumu hizo kuacha kutumia mara moja kwani bidhaa hizo hazijasajiliwa na TFDA na hivyo ubora na usalama wake haufahamiki.

Monday, February 22, 2016

Vidonge vya nguvu za kiume vyaua watu 86

120308025001-viagra-germany-insurers-story-top
Chupa za Vidonge vya kuongeza nguvu za kiume vya Viagra.
Stori: Mwandishi, Wetu Wikienda
Dar es Salaam: Wamekwisha! Imebainika kuwa watu wanaotumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume vya Viagra huku wakiwa na matatizo ya moyo na wengine kuchanganya na pombe wapo kwenye hatari ya kupoteza maisha kama ripoti za madaktari zinavyoeleza, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili ambapo watu 86 wamepoteza maisha nchini Uingereza kwa matumizi ya vidonge hivyo.
Kigwangalla (1)
Mwalimu na Naibu Waziri Wake Dr Hamisi Kigwangallah.
UCHUNGUZI WA WIKIENDA
Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda umebaini kwamba vidonge hivyo kwa sasa hapa nchini vinatumiwa sana na baadhi ya wanaume au vijana wengi kwa lengo la kuongeza uwezo wao wanapokuwa faragha na wapenzi wao.
Ilibainika kwamba vidonge hivyo hutumiwa zaidi na wanaume wasiomudu kufanya tendo la ndoa ili kuwawezesha kukidhi haja zao au za wenza wao.
web-pills-1118
Vidonge vya kuongeza nguvu za kiume vya Viagra.
KUKOMOA?
Lakini vidonge hivyo vimekuwa vikitumiwa na vijana wengi kwa lengo la kumkomoa mwanamke au wengine hufanya kwa kuiga kutoka kwa waigizaji wa video za ngono (pornograph).
CHANZO CHA WANAUME KUFIA GESTI
Uchunguzi huo ulibaini kwamba kumekuwa na wimbi la wanaume kufia gesti wakiwa na wanawake mara tu baada ya kutumia vidonge hivyo na kushushia na pombe, jambo linalowasababishia mshtuko wa moyo.
KISA NA MKASA
Akizungumzia tukio la kusikitisha la rafiki yake aliyefariki akiwa gesti na mwanamke, mfanyabiashara mmoja wa jijini Arusha aliyejitambulisha kwa jina moja la Lyimo alikuwa na haya ya kueleza:
“Nilikuwa na rafiki yangu (anamtaja jina). Aliambiwa na demu wake kuwa hawezi kumtosheleza wanapokuwa faragha. Alichokifanya rafiki yangu ni kutafuta vidonge hivyo bila ushauri wa daktari.
“Ulipofika muda wa tendo la ndoa akiwa na demu wake gesti si ndiyo akameza vidonge?
“Kumbe jamaa yangu alikuwa na presha. Kilichofuata ni kwamba alifariki dunia kabla ya kumfikisha hospitalini na kweli ripoti ilionesha kwamba alimeza Viagra na pombe na hivi sasa hatunaye.”
WATAALAM
Wataalam wanaeleza kuwa vidonge hivyo husababisha kuganda kwa damu hivyo kumweka hatarini mtumiaji ambaye hupoteza maisha kwa shambulio la moyo na kiharusi.
Kwa mujibu wa kitengo cha kusimamia madawa cha Medicine Control Agency cha nchini Uingereza, wanaume wapatao 86 waliokuwa wakitumia vidonge hivyo kati ya mwaka 1998 hadi sasa wamepoteza maisha kutokana na madhara yake kwenye moyo.
UTAFITI MPYA
Utafiti mpya unaonesha kuwa vidonge hivyo vinazidi kuongeza vifo vya mshtuko wa moyo kwa wagonjwa ambao tayari wana magonjwa ya moyo.
Dokta Xiaoping Du ambaye ni mfamasia wa Chuo Kikuu cha Chicago College of Medicine, anasema: “Viagra peke yake haviwezi kusababisha shambulio la moyo kwa mtu mwenye afya (ambaye haumwi) lakini utafiti wetu unaonesha kuwa hilo linawezekana kwa mtu ambaye tayari ana dalili za ugonjwa wa moyo.”
Wataalam wanaeleza kuwa vidonge hivyo haviruhusiwi kabisa kwa mwanaume mwenye matatizo ya moyo.Vidonge hivyo vinakadiriwa kutumiwa na watu milioni 20 duniani kote ingawa msisitizo upo kwenye kufuata ushauri wa daktari.
MBALI NA KIFO
Mbali na kusababisha kifo kwa shinikizo la damu, pia matumizi makubwa ya vidonge hivyo hufanya tatizo la nguvu za kiume kuwa kubwa zaidi kwa sababu humfanya mtu ‘kupafomu’ tendo kwa muda tu na anapohitaji tena humpasa kumeza tena.
Hali hiyo humfanya mwanaume kuwa dependant (tegemezi) na kumfanya azidi kuongeza dozi zaidi na mwishowe hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.
Madhara mengine ni kupoteza uwezo wa kusikia na kuona.
Gazeti hili lilimtafuta Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ili kujua kauli ya serikali juu ya vidonge hivyo lakini simu yake haikuwa ikipatikana hewani.

Tuesday, February 16, 2016

Kama Hautumii Vyakula Hivi, Nguvu Za Kiume Utazisikia Redioni..Tumia Vitu Hivi Hapa Kuongeza Nguvu Za Kiume


                             
Nguvu  za kiume ni nini?
Huu ni uwezo wa mwanaume kuweza kusimamisha uume wake na kuhimili mda mrefu kwenye tendo la ndoa bila kuchoka kirahisi.
Waswahili wanasema ni “uwezo wa gari kupiga starter lenyewe bila kusukumwa”
Utafiti unaonyesha kati ya wanaume watatu, mmoja ana tatizo la nguvu za kiume kitu ambacho kinaonekana kitakua  zaidi siku zijazo. 
kwa fursa hii watu wengi wamejiita waganga na kuuza dawa nyingi za uongo wakidai zinaongeza nguvu za kiume ili kujipatia fedha kitapeli.
nakushauri wewe msomaji usiangukie kwenye mtego huo.
Kuna sababu kadhaa ambazo zinasababaisha kupungua kwa nguvu hizo lakini hii sio maada yangu kwa leo ila ntaziongelea session zijazo.
    
Vifuatavyo ni vyakula ambavyo vinaweza kukurudishia nguvu zako za kiume kwa asilimia mia moja{100%].
·         Banana {ndizi mbivu}
Haya ni matunda ambayo yanapatikana kwa wingi nchini kwetu na kwa bei nzuri,  enzyme muhimu iliopo kwenye ndizi kwa jina la kitaalamu  bromelain huongeza stamina na hamu ya tendo la ndoa.
Pia vitamin B, ambayo hupatikana kwenye tunda hilo huongeza nguvu za mwili.
 
·         Garlic {kitunguu swaumu}:
Kitunguu hichi ni hutumika sana kwenye mapishi ya kiafrika hasa upikaji wa pilau, lakini hufanya kazi vizuri kikiliwa kibichi.
Kitunguu hichi hufanya kazi ya kuongeza mmiminiko wa damu kwa wingi kwenye uume na kufanya mwanaume kustahimili vizuri kwenye tendo hilo.

·         Pea nut{karanga}:
Karanga ni moja ya vyanzo vikubwa vya amino acid ambayo kitaalamu inaitwa L-arginine ambayo hufanya kazi ya kulegeza mishipa ya damu ya uume na kuruhusu damu kuingia kwa wingi hivyo kuupa uume nguvu maradufu.

·         Chocolate:
Ni chakula kinachopatikana kwa wingi madukani, ambacho kitaalamu kina kemikali zinazoitwa phenylethylamine na alkaloid, ambazo huongeza nguvu na stamina wakati wa tendo la ndoa.

·         Blue berries:
Haya ni aina ya matunda ambayo hayapatikani kirahisi nchini kwetu ila yanalimwa san amerika ya kaskazini na hupatikana mara chache mijini kwenye supermarket kubwa kubwa. Matunda haya hufanya kazi kwa kupunguza lehemu{cholesterol} kwenye mishipa ya damu na kufanya damu kupita kwa wingi kwenye mishipa hiyo na kuufanya uume usimame kwa nguvu na kwa mda mrefu.


    MWISHO: ni kiasi kidogo tu kinahitajika kwa siku, kwa vyakula nilivyotaja hapo juu.
 hivyo sio busara kula vyakula hivyo kwa wingi na kuacha kwa wiki moja.
Ni vizuri ukala kiasi kidogo kwa mda mrefu ili upate matokeo mazuri.