Friday, May 22, 2015

Mtitu Amjibu Steve Nyerere "Ukifa Mimi Napata Faida Gani ? Kanumba Amekufa Akiwa na Bifu na wewe Chanzo ni Hayo Maneno yako"

Mtitu ameandika haya mara baada ya kuona alichokiandika Steve Nyerere

"Da ! Naomba ndugu zangu
mnisamehe kwa kuandika hili humu instagram ...maana lilitakiwa liongelewe nje ya hapa ...
kiukweli steve NIMESHTUKA SANA baada ya kuona post yako tena umenihuzunisha sana kwa kunitaja kwa jina katika ugomvi wako na dude nimejaribu kukupigia cm sana aupokei cm zangu aukupokea na
Umesema.

kuwa natamani ufe...hv tujiulize kwa nini nitamani ufe ndugu yangu ?? So ukifa mimi napata faida gani ? Kwani mimi nna ugomvi gani na wewe?? kwanza tunafanya vitu tofauti na mimi producer namsambazaji wewe mchekeshaji kwa nini nigombane na wewe ?? kwani nn steve utaki kujifunza mdogo wangu maneno haya haya yamesababisha Kanumba amekufa huku akiwa awaongei na Ray wakati walikuwa marafiki kwa zaidi ya miaka kumi na Kanumba amekufa huku ukiwa na bifu kubwa sana na wewe nae wewe hadi anakufa mlikuwa amuongei chanzo ni haya haya maneno yako ...

Kuwa na amani steve wewe ni mhehe kama mimi kwetu kumoja miongoni na mwa watu ambao sitawasahau katika maisha yangu wewe ni mmoja wa wao, umenisaidia vitu vingi sana nakushukulu mangere ..na pamoja uliapa ukiwa na matatizo nisije mimi ntakuja tu labda unifukuze wewe kama unahisi mimi mbaya wako umekosea mimi sina ubaya na wewe kabisa na sioni sehemu pa kutugombanisha maana atuna tunapokutana" Mtitu