Wednesday, June 17, 2015

Audio: Wema akiongelea uamuzi wa kuwania ubunge wa viti maalum

Wema Sepetu anaingia kwenye siasa rasmi mwaka huu kwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalum mkoani Singida kwa tiketi ya CCM. Msikilize akizungumza kwa kina kwenye mahojiano aliyofanya na Diva kwenye kipindi ch Ala za Roho, Clouds FM.
11376242_1604182396525077_946799762_n