Showing posts with label MAPENZI. Show all posts
Showing posts with label MAPENZI. Show all posts

Monday, June 13, 2016

Mneno haya RUBY Nna ASLAY yanayotambusha kuwa na mahusiano ya KIMAPENZI

Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye mahusiano. Haijajulikana kwa mara moja kama ni kiki au ni serious ni wapenzi ila hii ndio ishu inayo trend kwa sasa.
rui
asa 2
Aslay baada ya kupata mtoto na majukumu yake mapya ya Umeneja.

Friday, June 3, 2016

Nilifanya Nae Mapenzi Kinyume na Maumbile, je Anafaa Kuoa?

Nilikuwa na mpenzi wangu, tulipendana sana, nilimteka akili sana, tulifanya mapenzi kwa muda mrefu sana ikatokea siku nikajaribu kuingiza kidole nyuma nikaona ametulia, pepo likaniingia, siku ingine nikaendelea akanyamaza, siku ya tatu nikajaribu kuingiza dushelele akatulia, ikawa ndiyo mchezo wetu.

Kwa kuwa alinipenda sana akaniambia anavumilia, iliendelea nikaja mpa ujauzito, nilikua namhudumia sana, nikahama kikazi. Toka siku hiyo ikawa ni mawasiliano namhudumia mpaka akajifungua kwa operation niliingia garama zote. 

Kiukweli alipata mtoto wa kike alitoka copryt na mm, tulifanana sana na mtoto sikuwahi enda ila namlea sana mtoto. 

Huwa naona aibu na uchungu kwa tabia na mchezo tuliokuwa tunafanya nafikiria je nimuoe? Na je navyosikia mwanamke akianza ule mchezo haez uacha, je atauacha? Na je tutakuwa na heshima? 

Naombeni ushauri wenu wa dhati Jamani

Friday, April 15, 2016

Shamsa Ford: Simtaki Nay wa Mitego!

Staa wa filamu Tanzania Shamsa Ford amesafisha hewa baada ya kuwepo kwa uvumi wa yeye na Nay wa Mitego kutamaniana kurudisha penzi lao.

Shamsa alifunguka yote hayo baada ya vyombo kadhaa vya habari na mitandao tofauti tofuti ya kijamii kuripoti kuwa Nay katika moja ya mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni alisema kuwa anatamani kurudiana na Shamsa Ford, kisha baadae ikadaiwa kuwa Shamsa naye amesema yuko tayari kurudiana na Nay, Shamsa alikanusha vikali uvumi huu.

akizungumza na eNewz Shamsa alisema kuwa “Mimi siwezi kurudiana na Nay na kwasasa nina mpenzi wangu ninayempenda, kwahiyo Nay aendelee tu na maisha yake asitake kuniharibia mahusiano yangu, lakini kwa kuendelea kunisifu kwa mazuri hata baada ya kuachana, ninamshukuru na ninafurahi kwa hilo, lakini si zaidi ya hapo”.

eatv.tv

Sunday, April 10, 2016

Video:Niliumia Kumuona Wema Akimbusu Mwanaume Mwingine-Idrissa


12446365_1699268810331221_476709445_n
Idris na mtangazaji wa The Trend, Larry Madowo

Akiongea kwenye kipindi cha The Trend cha NTV ya Kenya, Idris alisema ‘hicho ni kitu kibaya zaidi kuwahi kumtokea.’

“Ingetokea kwamba tupo kwenye party na kuna huyu jamaa ‘gay’ najua wakati mwingine ni kitu cha mchezo kumbusu mwanaume ‘gay’ haijalishi, wao ni nyoka wasio na sumu lakini inapotokea unapuuzia tu,” amesema.
“Lakini pale video inapowekwa mtandaoni na kila mtu anaiongelea na kila mtu anakuja kwangu kusema ‘mwanamke wako anachukuliwa tu na huwezi kufanya chochote, sasa wanaanza kuniita bwege na vitu kama hivyo, huwezi hata kumtawala mwanamke wako, huwezi hata kumkataza kufanya hili na lile na ninapoongea naye hanijibu vizuri,” alisisiza.
“Niliongea naye na akaniletea kiburi, alipokuwa hivyo nikasema nilitarajia walau ungeelewa, sijisikii vizuri kuhusu hili. Ninajisikia vibaya si kuhusu busu lenyewe ni kuhusu kwanini ipo mtandaoni, ni chuki kiasi gani ninazopata kutokana na hili, hakuwa anapata chuki kama niliyokuwa napata kwasababu ya video hiyo. Baada ya kusema nimechoka na kutoheshimiwa, watu ndio wakaelewa kuwa Idris anakuwa mwanaume wakati mwanzoni walisema ‘anakuwa kama mwanamke sasa’ kwasababu nini mwanamke wake anachofanya,” aliongeza Idris.
Idris anadai kuwa mwanzo alipoona video hiyo alidhani ni utani wa siku ya wajinga duniani. “Na kisha nikagundua kuwa huu si utani wa siku ya wajinga, hii inaumiza,” anasema.
“Ingekuwa mimi video yangu imesambaa nambusu mwanamke msagaji hakuna mtu angejali, watu wangapi wanajua kuwa labda jamaa huyo ni ‘gay’ au sio, hakuna anayejua.”
Idris amesema hawana maelewano mazuri na Wema kwa sasa kutokana na video hiyo.

Saturday, April 9, 2016

Mwanaume Mwenye Wapenzi 17 Azua Mtafaruku Hospitali

Waandishi nao walikuwepo kushuhudia kituko hicho cha karne alichosababisha bwana Yuan.

Mwanamume mmoja raia wa Chini anaendelea kupata ahueni baada ya kupata ajali ya gari ,lakini akajikuta katika wakati mgumu baada ,wakati mabibi zake wote kumi na saba walipoamua kwenda kumjulia hali katika hospitali alikolazwa.

Shababi huyo anaitwa Yuan, anayetokea Changsha,alipatwa na ajali ya gari mwezi March 24 na amelazwa hospitalini tangu wakati huo.wanawake hao hawakuwahi kujua kuwa bwana Yuan ana idadi hiyo ya wanawake,na hakuna aliyedhani kuna aliyemzidi,mmoja wao aliishi na Yuan kwa muda wa miaka tisa na kujaaliwa mtoto mmoja wa kiume,na bado hakutanabahi kuwa wako wengine kumi na sita nyuma yake.

Mwanamke huyo aling’amua siri ya laazizi wake baada ya madaktari kuwapigia simu wanawake wote kuwataarifu kuwa bwana wao ameumia ajalini.



Bibi mmoja aitwaye Xiao Li, alikuwa akijiachia kimahaba na shababi Yuan kwa miezi kumi na nane amesema kwamba nilipatwa na mashaka makubwa baada ya kutaarifiwa mkasa uliomfika,lakini nilistaajabishwa na idadi ya warembo waliokuwa wakiingia kila dakika kumjulia hali,niliacha kulia papo hapo .

Mrembo mwingine aliropokwa kwamba haelewi ingekuwaje mbeleni,kwani alishaanza mipango ya harusi na bwana Yuan.
Wang Fang, mama mwenye mtoto wa kiume aliyezaa na Yuan,amevurugwa na hali ya bwana huyo kiasi cha kujiuliza maswali yasiyo na majibu kuwa afanye nini sasa, akajikuta akisema hampendi Yuan tena lakini anampenda mtoto wake wa kiume.Uso wa Yuan ulikua mdogo, baada ya siri yake kubumburuka.
Wanawake hao wakaona isiwe taabu wamefungua kijikundi chao katika Facebook,kwa lengo la kufungua mdahalo wa majadiliano juu ya kisanga chao hicho,na pia kutaka kujua walivyochezewa shere na shababi huyo.
Habari hii imezusha gumzo katika mitandao ya kijamii,walio wengi wakimlaumu mwanamume huyo kwa kitendo chake na wengine walivutiwa na uwezo wake wa kucheza na wanawake kumi na saba kwa wakati mmoja.

Kutokana na hali hiyo Polisi nchini China wameanzisha uchunguzi kuhusiana na madai ya udanganyifu alioufanya bwana Yuan,na ni mapema mno kuzungumzia lolote juu ya mabibi wa bwana huyo kuwa ni waathirika wa kashfa ya kimapenzi

Kunyonya Nyeti Ni Utamu Madhara Yapo Usipo Kuwamakini, Ila Namna Ya Kunyonya, Kuwa Mjanja Jifunze Hapa

 
                         
Kuna maneno mengi sana yanazungumzwa kila kukicha kuhusu tabia ya mwanaume kumnyonya u*ke mwanamke  kama moja ya njia rahisi sana ya kumfikisha mwanamke kileleni.                         

Wapo baadhi wanajaribu kuelezea juu ya madhara
apatayo  mwanaume kunyonya kuma mchezo ambao maarufu unaitwa kuzama chumvini au uvinza,

Siwezi kuwa mnafiki kwa kusema mchezo huu hauna madhara kwa mnyonyaji la hasha nitakuwa nawaongopea,


Nilichoamua kuwashirikisha siku ya leo wapendwa ni juu ya ukweli halisi kwa wapendaji wa mchezo huu kwani si ajabu kukuta mtu akikemea na kupinga vikali juu ya unyonyaji u*ke akisema ni mchezo mchafu na wenye madhara na haupaswi kabisa kufanywa, 


Mara nyingi watu hawa wamekuwa wakionesha matokeo mabaya (athari) zaidi na kuto zungumzia juu ya faida yoyote ipatikanayo kwa wawili hao katika mchakato mzima wa kuridhishana.



Wapo wengine pia wanaotetea juu ya kamchezo haka katamu na kenye kumnyegesha kwa haraka zaidi mwanamke na kumfanya hata aanze kuzungumza vitu asivyovijua kutokana na raha aipatayo hasa pale ulimi unapokuwa kunako kisimi na sehemu nyinginezo.

Kundi hili pia la watu husahau kusema madhara ambayo huweza mwanaume kuyapata kutokana na kamchezo haka hasahasa kama amekurupuka
tu kufanya haka kamchezo.

Leo naomba nitumie fursa hii kuondoa mzizi wa fitna kuzungumza ukweli halisi juu ya mchezo huu, haya sasa twende sawa:- 



*Mchezo huu unamadhara tu iwapo mwanamke atafanya makosa kama vile kunyonywa akiwa hajajisafisha vizuri kwa sabuni zenye dawa(medicated soap)katika kona zote muhimu za uch wake kuanzia nje kabisa,maeneo ya kinembe,kwenye visikio na ndani kabisa kona zote. 

Usafishaji huu unahitaji muda wa kutosha usiopungua dakika 45,usione kuchelewa ukakimbilia kwenda kutiwa mdada japo mbo*o tamu sana lakini subira muhimu dada.

*Kunyonya ku*ma pasipo kusafisha vizuri huweza kusababisha mnyonyaji kupata fangasi au maambukizo ya magonjwa ya zinaa kama vile virusi vya ukimwi na kisonono kwa urahisi zaidi kwani u+ke huwa na majimaji ambayo huweza kuhifadhi vijidudu vinavyoweza kuleta madhara kwa mnyonyaji.

*Lakini pale ambapo mwanadada ametumia muda wa kutosha na umakini wa hali ya juu na kufanikisha kuikosha vizuri uke(ku_ma)yake hakika ni wakati murua wa mwanaume wake kuenjoy na kufaidi utamu uliopo kila sehemu katika k* ya mwenzawake,

kwa uzoefu wangu u_ke ukisafishwa vizuri kabisa na kukaushwa maji maji hakika mwanaume anaweza jisahau ukataka hata usitoke badala yake uendelee kuifyonza jambo litakalofanya mpenzi wako aanze kurusha miguu huku nakule,akate kiuno hapa na pale,atoe sauti hii mara ile na mwisho hujikuta akifika kileleni kwa kumwaga majimaji yanayoashiria kilele cha utamu.

*Kwa haraka haraka kabla ya kupeleka mdomo wako uchini mwake hakikisha unamchezea sehemu zingine kama vile chuchu zake,makalio yake,masikio yake bila kusahau kumnyonya ulimi wake kwa taratiibu huku ukiachia pumzi pole pole jambo linalomfanya asikie raha ya ajabu. 

Baada ya kufanya hivi kwa muda wa kutosha ndipo ushuke chini na kulamba lamba u_ke wake hata kabla hajachojoa chupi,pitisha pitisha ulimi wako juu ya chupi usawa wa k* yake,waweza penyeza ncha ya ulimi wako pembeni mwa chupi ili uguse ku_ma yake mithili ya kitoto cha nyoka kinachungulia shimo la panya.

Baada ya kufanya utundu kadha sasa waweza mvua chupi mpenzi wako na taratibu anza
kunyonya chini kidogo ya kine_na huku ukibusubusu mara kadhaa na taratiibu anza kushuka kwenye kinembe na ukibusu baada ya hapo anza kukinyonya taratibu huku ukikipulizapuliza ili kuamsha spidi ya mzunguko wa damu.

Kelele za mnyonywaji haziwezi kukatika kwani raha anazozipata mnyonywaji anashindwa aongee lugha gani aeleweke. 


Baada ya kutoka kwenye kine_mbe waweza lamba na kunyonya mashavu pamoja na sehemu ya ndani ya uke wa mpenzi japo nguvu za ziada inatakiwa zielekezwe kwenye kinembe kwani ndio sehemu rahisi zaidi kumfikisha mwanamke kileleni usipokuwa mwangalifu mwamke anaweza hata kubweka kwa kuzidiwa utamu!!!! 


Chumvini kuna starehe usiambiwe ila usafi ni jambo la kuzingatia sana ili kuepuka maradhi.

Friday, April 8, 2016

Riyama Awapa Makavu Wanaoponda Mahusianio Yake na Kijana Huyu

Msanii wa filamu nchini Riyama Ally ambaye siku za karibuni ametolewa mahali na msanii wa muziki wa kizazi kipya Leo Mysterio amevunja ukimya kwa watu ambao wamekuwa wakisema kuwa anatoka na dogodogo huyo.

Riyama amesema kuwa wanataka atoke na mzee ndiyo wamuone kuwa ana heshima.

Kupitia kipindi cha eNEWS kinachorushwa na EATV Riyama amesema kuwa Leo Mystereo ndiyo furaha yake, na ujio wake katikia maisha yake umemuongezea changamoto kwenye maisha yake na kumfanya awe na furaha muda wote.

” Watu wanatakiwa wajue penzi haliingiliwi wewe ukicheka au ukinuna mimi hainisaidii kwani mimi natafuta furaha yangu na huyu ndiye furaha yangu, wewe unataka mimi niondoe furaha yangu nitaipata wapi. Unataka niwe na babu wa miaka mingapi ili uone Riyama ana heshima huyo babu unayetaka niwe naye asiponiheshimu pia mtasema. Jamani binadamu kweli maneno yapo kwa ajili ya kusema ila inabidi tuwe tunachagua vitu vya kusema” alisema Riyama Ally.

Riyama alisema kuwa wapo baadhi ya watu wamekuwa wakiongea vibaya sana juu ya mahusiano yake lakini amewataka kutambua kuwa wao wamependana na wana mipango na wameridhiana wao hivyo kuwatenganisha kwa maneno si jambo jepesi.

Wednesday, April 6, 2016

Zijue Dalili Za Kuonyesha Kuwa Mpenzi Wako Amechoshwa Nawewe, Na Vipi Utauepuka Majanga Ya Kuachwa....Soma Hapa


Naamini kuwa mahusiano yako na mpenzi wako siku za kwanza kukutana na yeye yalikuwa ya kufurahisha kila wakati mnapokuwa pamoja.  Halafu muda ulivyokuwa ukisongea mumejiona mukipunguza moto ambao mlikuwa nao awali. Naongea ukweli? Hivi wewe na mpenzi wako mahusiano yenu yamefikia kilele cha kuanguka


Ni kawaida katika mahusiano kufikia pahali ambapo lazima kutatokea sintofahamu kati wa wapenzi wawili. Lakini habari njema ni kuwa pindi utakapomaliza kuzima hili chapisho utakuwa na nafasi nzuri ya kutatua matatizo yako na mpenzi wako.
 
Kutatua matatizo katika mahusiano yanahitaji kazi na kujitolea na baada ya muda mfupi matatizo yenu yatakuwa yametatuliwa bila shida yeyote kutokea. Baadhi ya matatizo makuu ambayo hutokea katika mahusiano ni kama yafuatayo:
 
1. Malumbano na vioja 
Hili ni tatizo kuu ambalo hutokea katika mahusiano na pia ni rahisi kulitatua. Ukimwona mpenzi wako kila mara yeye anapenda majibizano ama kurusha vitu huku na kule, ujue kuwa hii ni dalili ya kuwa anataka kuona mapya kutoka kwako. Kwa wanawake, wakianza majibizano ujue kuwa wanataka mabadiliko katika mahusiano aidha chanya ama hasi.
 
Tatizo ni kuwa kuboesha huua mahusiano kati ya wapenzi wawili. Na ukisema kuwa utajitenga ili upoeshe mahusiano yenu utakuwa unafanya makosa makubwa. Ukiona kuwa mpenzi wako anaanza majibizano ama vita vya kila wakati, kwa urahisi anajaribu kukuambia: "kama vitu havitaenda vile nataka mimi hakutakuwa na amani mimi na wewe kamwe". 
Vitu vya kufanya: 
- Akianza vita, fanya kukubali aendelee, hii itamsaidia kuitoa kwa damu yake
 
- Akianza drama ambayo haijulikani chanzo wewe jifanye hamnazo, na usikubali akuhusishe nayo
 
- Toka nje ya nyumba. Fanya vitu vya kufurahisha na yeye. Mnaweza kuenda kuangala sinema, sehemu za mapumziko ama hotelini
 
- Usionekane mtu ambaye una shauku ya kutaka kutatua matatizo yenu kwa uharaka
 
- Mjeuzie mchezo. Waweza kumrudia drama zote kwake. mfanye aingiwe na wivu.
 
2. Mpenzi wako hana muda na wewe 
Ni kawaida kwa mtu kuwa na sababu za kuwa bize ama kuwa na shughli nyingi, lakini kama utaona ya kuwa wakati kama huu biashara zake zimeongezeka kiasi cha kuwa hana muda na wewe, ni dalili tosha kuwa anajaribu kukutenga.
 
Kumbuka: Kama unapenda kufanya kitu ama kupenda mtu kawaida unajipa nafasi ya ili kukutana na vitu kama hivyo na si kungojea wakati mwafaka wa kupata muda
 Vitu vya kufanya: 
- Kuwa mtulivu. Usipayuke wana kumlalamikia.
 
- Mpatie nafasi. Usitumie nguvu, kumbabaikia ama kuonekana mwenye kutotosheka bila yeye.
 
- Mwonyeshe kuwa wewe una maisha yako na huwezi kupatika masaa 24/7 (hata kama unaweza kupatikana)
 
- Ukikutana na yeye mkumbushe kitu ambacho kilimfanya muanze mahusiano. Labda inaweza kuamsha hisia zake
 
3. Mpenzi wako amepoiteza hamu ya kufanya mapenzi 
Mpenzi wako akianza kudai ya kuwa hana mood ya kufanya mapenzi na wewe ama kuonekana hayuko mchangamfu mkiwa na yeye chumbani, uko na tatizo. Kutaka kurudisha mambo kama awali inahitaji kazi kubwa sana.
 
Jaribu kutafuta chanzo cha nyinyi wawili kupoteza hamu ya mapenzi. Inaweka kuwa labda imetokana na:
 
- Umekuwa mtu wa tamaa na atenshen yote inataka ielekezwe kwako
 
- Umepoteza ubinafsi wako na maisha yako yote yamefana na yake, umepoteza marafiki wako na vitu ambavyo umekuwa ukipenda kufanya
 
- Umepoteza umbo lako la zamani.
 
4. Miondoko yake ya mwili 'body language' inajielekeza kutoka kwako. 
Miili yetu haiwezi kuficha mambo ambayo tunapenda ama kuchukizwa nayo. Baadhi ya mambo ambayo yanawakilishwa na miondoko ya miili yetu ni kama:
 
- Hapendi kusmama kando yako mkiwa sehemu za hadhira
 
- Kila wakati anajaribu kujiepusha kumgusa sehemu yeyote yake ama harudi hisia wakati unapoanza
 
- Mkiwa pamoja mnakula anaangalia madirishani na milangoni
 
- Mkiwa mmeketi pamoja ataegemea upande wa kando na kwako na kuikumbata miguu yake
 
- Macho yake hayaingiwi na jazba ya furaha anapokuona, na uso wake unajeuja jiwe
 
KUMALIZIA: Baada ya kuorodhesha haya yote, unafaa kufahamu pia hapa duniani watu ni tofauti tofauti na tabia za mtu hubadilika kadri siku zinaposongea. Kama unaona kuwa mpenzi wako anahizi tabia tangu ukutane naye basi hio itakuwa ni swala jingine. Lakini wakati mwingi ni kuwa tabia hizi hudhahirika wakati ambapo mahusiano ya wawili yamekuwa taabani.

Staa Nuh Mziwanda Atoboa Alichokuwa Akikifanya Kwa Shilole

nuh-mziwanda
Akizungumza katika kipindi cha Clouds E, Jamatatu hii, Nuh alisema hali hiyo ilimfanya apotee kimuziki na kukiki zaidi kimapenzi.

“Kwa Shilole nilikuwa nikifanya mapenzi sio muziki, ndio maana ukaona kwenye upande wa muziki sikuwa vizuri,” alisema Nuh. “Hata followers wetu walikuwa wanakuja kuangalia mapenzi na sio kwa ajili ya muziki. Ndio maana alikuwa anashindwa hata kunishauri kuhusu muziki wangu, kwa sababu kama angekuwa ni mtu sahihi angekuwa ananishauri kwenye masuala ya kujenga,” alifafanua Nuh.
Nuh amesema kwa sasa amejipanga yeye kama yeye kuachia kazi yake mpya ya kuimba pamoja na ya kurap.

Jokate aamua kutumia wimbo wa Ndi ndi ndi kumjibu Alikiba kuhusu Wife material!



Jana kwenye eNewz ya EATV, Alikiba alizungumzia kuhusiana na wife material wake 'Alikiba hoi kwa Jokate, Ashindwa kuelezea kama ni wife material au la!' ambapo alisema kuwa "...watu sikuhizi wanasahau kuwa Wazee wetu walikuwa wanachagua vipi msichana, Siotu mnaoana tu basi mependana tu mnakaa ndani... lazima muwe marafiki..."

Mapema leo Jokate ambaye alikuwa mpenzi wa Alikiba ame post picha nakuandika "Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote, kama ni jipu lilivimba zaidi. Nikasahau chizi huwa haponi kama chozi mvuani. Hatimae kumekucha na milembe nimekushusha. Na geti likifungwa naondoka 👉🏾 NDI NDI NDI. ZE NDI NDI NDI 🚗🚗🚗🚗🚗🚗🚗🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽" kitu ambacho wengi wamedhani huenda ikawa ameamua kumjibu Alikiba.

Ukweli huo haujathibitika kuwa amemjibu au la!
yapi maoni yako?

Monday, April 4, 2016

Ukweli Mchungu: Mwanamke Ni Miguu Na Makalio Sura Hata Mbuzi Anayo.

Tunaweza tukasema tu ilimradi tuoneka lakini huo ndio Ukweli. Mwanamke ni miguu na makalio ndivyo vinavyomfanya awe na mvuto popote pale. Angalia tu Mwanamke mwenye sura nzuri na yule mwenye makalio waongozane ni nani atakayetizamwa sana au kupigiwa miluzi. Na hii ndio iliyowapelekea wanawake wengi ambao ni vimbau mbau kutafuta hata makalio ya kichina ilimradi tu waonekane.

Wema Sepetu Auvunjavunja Moyo Wa Idris Sultan Kwa Video Hii Akibusiana Na Mwanaume Mwingine

Mapenzi yanaumiza, kama hujawahi kuumia huyajui.

Na kama unahitaji ushahidi kutoka kwa mtu ajuaye maumivu yake kwanini usimuulize Idris Sultan? Ni kwasababu mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014 anauguza jeraha la moyo baada ya mwanamke ampendaye – Wema Sepetu kumchoma kwa mkuki wenye moto moyoni mwake.

Wakati akiwa safarini jijini Nairobi, alishangazwa na video inayomuonesha mpenzi wake akimbusu mwanaume mwingine. Video hiyo imekuwa viral mtandaoni. Story zinaeleza kuwa pamoja na jamaa huyo kuwa ‘chakula’, bado ni mwanaume tu na video hiyo imemuumiza mtoto wa Sultan.

Idris amepost picha hiyo juu kwenye Instagram na kuandika:

“I have learnt to consider all my failures as lessons learnt the hard way. As i focus on work kesho Jumapili i will land in Nairobi at 7:20 asubuhi.”

Bado Wema hajasema chochote.

Sunday, April 3, 2016

Dogo Aslay Kaongea Kwanini Hayuko Tena na Mwanamke Aliyekua na Ujauzito Wake… Umeneja Mpya Je?

Aslay ni mwimbaji kutokea kundi la Yamoto BAND, kilichofanya awepo kwenye hii post ni kauli yake ya kukanusha kumtelekeza Mwanamke mwenye ujauzito wake baada ya kuishi nae kwa miezi isiyozidi 6.

Aslay ambaye ana umri wa miaka 20 sasa hivi amesema ‘Baada ya kuishi pamoja miezi sita tulizinguana ikabidi kila mtu ashike hamsini zake, sisi vijana bwana mambo mengi… tukaangalia pia mimi bado umri wa kukaa na Mwanamke na yeye akaona bado umri wake wa kukaa na Mwanaume‘



‘Sikuchukua uamuzi ila wote ndio tulichukua uamuzi…. nilimuacha na ujauzito wangu na tayari amejifungua mtoto wa kike ambaye ana kama mwezi mmoja na nusu, mwanangu nimemuita Moza jina la marehemu mama yangu… na bado mpaka sasa tunaonana hata hapa nimetoka kumuona mwanangu, hatujarudiana…. tunashirikiana tu kama mtu na mzazi mwenzake‘ – Aslay

Kingine alichokiongea Aslay kwa sasa ni kwamba amekabidhiwa majukumu mapya ya kuwa meneja, aliyemkabidhi ni boss wake Mkubwa Fela kiongozi wa Mkubwa na Wanawe na sasa Aslay ni meneja wa madada watano aliokabidhiwa miezi mitatu iliyopita na watasikika very soon.

Saturday, April 2, 2016

Soma Haya Maswali 20 Ya Kumuuliza Mwanamke Whatsapp Ambayo Yatamfanya Apandwe Na Hamu Ya Mapenzi Balaa

Wanawake wanapenda kuwa wagumu sana kila wakati ikifikia maswala ya kuwatongoza. Ni vizuri kuwa hivyo kwa sababu haitakuwa na maana kwa mwanaume kumpata mwanamke yeyote bila kutoa kijasho.

Wakati mwingine inakuwa rahisi kwa mwanaume kumsisimua mwanamke haswa ikifikia maswala ya kumshawishi.

Kuna njia tofauti tofauti ambazo unaweza kutumia kumshawishi mwanamke yeyote kuingia katika box lako. Hapa tumekurahishia kazi kwa kukuandalia maswali ishirini ambayo ukimuuliza mwanamke yeyote utamfanya azimie. Maswali haya unaweza kuyatumia mkiwa pamoja ama kama mwanamke anaweza kuhisi fedheha kiasi flani basi ni vyema zaidi kutumia maswali haya katika text, mtandaoni ama Whatsapp

Tumia maswali haya kumuuliza aidha mpenzi wako ama ni mwanamke yeyote yule ambaye huwa unamtongoza. Unaweza kuanza na swali lolote lile ilimradi uwe unachat na yeye muda wote. Hakikisha umetumia maswali nyakati za usiku ili uweze kupata matokeo mazuri.

1. Uko pekeako?
Swali hili linaeleweka kuuliza kama yuko pekeake na hana kitu cha kufanya nyumbani. Akijibu yuko pekeake. Mjibu kwa kumwambia kuwa unatamani ungekuwa uko na yeye pale alipo sasa.

2. Unafanya nini sahizi?
Fanya kumuuliza hivi kwa umakini ili ujue kama yuko huru ama vipi. Kama ana kazi basi itakuwa ni vigumu kwake kumakinika na mpango mzima. So hakikisha kuwa hayuko buzy. Wanawake wengi hupenda kusema kuwa wako kitandani hawana kitu cha kufanya.

3.Wapenda kupapaswa wakati umelala kwa kitanda?
Swali hili ni kama changamsha bongo kwake. Hii inatoa nafasi ya kuiweka akili yake kwa chat na kuanza kuongea maswala ya kimapenzi polepole bila kumfanya aingiwe na woga ama kushuku nia yako chafu.

4. Unavalia nini kama unaenda kulala/ umevalia nini sasa hivi?
Hili ni swali lenye shauku kwa mwanamke ambaye tayari amejilaza kwa kitanda. Hili ni swali la kibinafsi na bado halijatimiza kumfanya mwanamke kuingiwa na akili ya kusisimuliwa. Akitaja kile alichovali unafaa kumjibu kwa mfano: "Duh!, sahizi umenifanya nianze kukuwaza vile ambavyo umerembeka".

5. Hivi waona unarembeka / sexy zaidi ukivalia nguo gani?
Mfanye aanze kuongea mambo na nguo ambazo akizivaa zinamfanya akuwe sexy ama zinazomrembesha. Atajieleza vile alivyo yeye. Hapa utakuwa unamsoma akili yake iwapo anaweza kustahimili chat yako. Akitaja anapenda kuvaa kanga, jaribu kuichafua akili yake kwa kumuuliza iwapo amenyeshewa na mvua akiwa amevalia kanga(ama nguo yeyote) angejihisi vipi.

6. Ushawahi hata mara moja kumuona mtu mwengine akifanya ngono kwa bahati mbaya?
Swali kama hili linawaweka nyote katika hisia za kupandwa na nyege lakini mnaliweka swali hili kwa mtu wa tatu ili liwazuie mjiskie huru kuendeleza na chat yenu.

7. Ushawahi kushikwa matiti na mtu yeyote kibahati mbaya wakati mmesimama mahali hadharani penye watu wengi?
Swali kama hili linaweza lisimshangaze mwanamke kwa sababu wanapitia mambo kama haya. Akikubali, mjibu ungetamani kuwa ni wewe umemshika kibahati mbaya. Akijibu kwa kucheka ujue mchezo unaenda sambamba.

8. Ushawahi kufanya ngono na jamaa kwa sababu ya kuwa ulikuwa na nyege?
Fanya kumfahamu kama ni mwanamke ambaye anaweza kufanya ngono na mwanaume wakati ambapo anapoingiwa na nyege. Wanawake wengi wanaweza kukataa kujibu hili swali lakini ukiona amekujibu vizuri basi inaonyesha kuwa mwanamke huyu yuko tayari kujibu swali lolote lile ambalo umemwandalia.
9. Kwa bahati mbaya ukimwona mwanaume akiwa uchi ungependa kuona sehemu gani yake ya mwili kuanzia mabega kushuka chini?
Sasa hapa umeanza kuwa mkorofi kwa kuanza kumuuliza maswali ya kiujanja. Hii itamfanya yeye aonekane ndiye anatumia maneno machafu na wala si wewe.

10. Unapenda gani kati ya boxer ama chupi?
Hili ni swali na kumchanganya tu. Akikujibu anapenda boxer mwambie umevalia nini. Hapa kutamfanya aanze kufikiria vile umevalia. Ataanza kukuwaza ukiwa umevalia boxer ama chupi pekee.

11. Siri yako ni ipi ya kumpagawisha mwanaume kihisia?
Kwa kumuuliza hivi utamfanya yeye kufikiria akifanya mapenzi na mwanaume na atakuwa akikuelezea. Hii itamfanya yeye kuingiwa na mawazo ya ngono. Wakati uo huo anaweza kukueleza zaidi kuhusu kwa nini yeye ni bingwa wa kupagawisha mtu.

12. Kama kuna sehemu ambayo mwanaume anayoweza kukugusa na kukufanya kuingiwa na unyevu ingekuwa ni ipi?
Hili ni swali la moja kwa moja ambalo litamfanya kupandwa na kuingiwa na nyege. Kama atalijibu na ukweli wake wote, basi fahamu ya kuwa atakuwa amepandwa na nyege.

13. Je ukipapaswa mwili mzima unaweza kuingiwa na unyevu?
Wanawake wengi wakipapaswa vizuri kwa kawaida huingiwa na unyevu.  Hivyo unaweza kumjibu kuwa wewe una ustadi wa aina hio so ukikutana na yeye hilo ndilo jambo la kwanza la kumfanya ili kumsisimua.

14. Kama nimekupiga busu kwa bahati mbaya wakati nakuaga, utanichukulia vibaya?
Swali kama hili litamfanya kuanza kufikiria busu lako kama lingekuwaje.

15. Mwili wangu ungeuona wa kuvutia ukiwa na manywele ama ukiwa umenyolewa?
Swali kama hili fasta litampa taswira ya wewe ukiwa uchi kwa madakika fulani akikuona ukiwa na manywele ama umenyolewa.

16. Kama wataka kufanya mapenzi na mwanaume ungependa wewe kuanza ama yeye?
Swali hili litamfanya afikirie akiwa uchi tayari kufanya ngono.

17. Kitu gani mwanaume anachofaa kukufanyia ili uingiwe na unyevu?
Hapa unaingia direct kwa swali ambalo ni tamu. Akikujibu vizuri unafaa urudie tena swali la 12 ili apate kukuelezea kwa kina.

18. Kama ningekuwa nakunongonezea maswali haya yote kwa sikio lako, je ningekusisimua kihisia?
Kama umeifanya hii chat imeenda vizuri, kufikia sasa inafaa kuwa huyo mwanamke ameingiwa na unyevu kitambo. So kwako ni kumsikia mwenyewe kama atakujibu nini.

19. Kama haungekuwa na boyfriend, je mimi na wewe tungeweza kufaana? ? Kama ningekuwa na wewe sahizi tungeweza kulana dende?
Swali kama hili laweza kukufanya ulazwe kwa kitanda, lakini hili swali la mwisho ndio litafunga mchezo
20. Kama mwanaume yeyote muda huu angekuja sehemu unayoishi na kufanya ngono na wewe ungeipenda?
Usijizungumze kuhusu wewe wakati unapomuulizwa maswali kama haya. Lazima uhakikishe ya kuwa anakutaka. Akijibu 'ndio' kimbia fasta kushinda fastjet hadikwa nyumba anayoishi. La sivyo, hakikisha kutumia mbinu nyingine za ushawishi hadi atakapokuruhusu uende nyumbani kwake.

Friday, April 1, 2016

Mwanaume Aliyeteka Ndege Ya Misri Akamatwa....Mapenzi Ndio Chanzo Cha Yeye Kuiteka Ndege






Mwanamume aliyeteka nyara ndege ya shirika la Misri la EgyptAir na kuishurutisha kutua Cyprus amekamatwa, wizara ya mashauri ya kigeni ya Cyprus imetangaza.

Mwanamume huyo alidai kwamba alikuwa na mkanda wa kujilipua na kumwamuru rubani wa ndege hiyo kuielekeza Cyprus au Uturuki.

Ndege hiyo, iliyokuwa safarini kutoka Alexandria hadi mjini Cairo, mwishowe ilitua uwanja wa Larnaca nchini Cyprus.

Abiria karibu wote walikuwa wamefanikiwa kuondoka kutoka kwenye ndege hiyo.

Ripoti zinasema kuwa mtekaji wa ndege ya EgyptAir anataka kuongea na mkewe walietengana naye anayeishi Cyprus ambaye kwa sasa anadaiwa kuelekea katika uwanja huo wa ndege.
EgyptAir: Mtekaji ataka kumuona ''mkewe''

Rais wa Cyprus Nicos Anastasiades amewaambia waandishi wa habari kwamba tukio hilo la utekaji nyara halikuwa la kigaidi.

Akijibu maswali ya waandishi iwapo mtekaji huyo alishinikizwa na mapenzi, alicheka na kusema, ''kila mara kuna mwanamke anayehusishwa''.

Shirika la habari la Cyprus CYBC linasema kuwa mtekaji huyo huenda alikuwa na malengo yake ya kibinafsi, mtekaji huyo alikuwa na mkewe waliyetengana nchini Cyprus.

Walioshuhudia wanasema kuwa mtekaji huyo alirusha barua katika uwanja huo wa ndege ilioandikwa Kiarabu akiomba ipelekwe kwa mwanamke huyo.

FID Q Ajibu Tuhuma Za Kutaka Kumuoa Salama Jabir Wa Mkasi TV


Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita kulikuwapo na tetesi kuwa msanii wa Hip Hop, Fid Q yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir na wana mipango ya kufunga ndoa.

Fid Q amejibu swali kama ni kweli aliwahi kutaka kumuoa Salama kwa miaka kadhaa iiiyopita wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Ala za Roho kinachoruka kupitia Clouds Fm na kukanusha taarifa hizo kuwa siyo sahihi.

“Sio kweli … hizo stori niza uongo,” Fid Q alimjibu mtangazaji wa kipindi hicho, Diva na baada ya hapo aliingiza mada nyingine na Diva kuachana na swali hilo.

Thursday, March 31, 2016

Ali Kiba Na Gigy Money Mahaba Motomoto..Team Kiba Wapanick

Story ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba kuongelea uhusiano wao kwa sasa na hawezi kuongelea kwa sasa na uko insta amewarushia kijembe mashabiki wa kiba na kuwauliza kwan kiba sio mwanaume baada ya team kiba kupanick na mapovu kuwatoka.

Story hii inakuja miezi kadha baada ya Gigy kumlalamikia Jokate kumuibia Ali kiba na ikumbukwe ivi sasa Jokate hawapo kwny terms nzuri na King Kiba