Wednesday, April 6, 2016

Jokate aamua kutumia wimbo wa Ndi ndi ndi kumjibu Alikiba kuhusu Wife material!



Jana kwenye eNewz ya EATV, Alikiba alizungumzia kuhusiana na wife material wake 'Alikiba hoi kwa Jokate, Ashindwa kuelezea kama ni wife material au la!' ambapo alisema kuwa "...watu sikuhizi wanasahau kuwa Wazee wetu walikuwa wanachagua vipi msichana, Siotu mnaoana tu basi mependana tu mnakaa ndani... lazima muwe marafiki..."

Mapema leo Jokate ambaye alikuwa mpenzi wa Alikiba ame post picha nakuandika "Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote, kama ni jipu lilivimba zaidi. Nikasahau chizi huwa haponi kama chozi mvuani. Hatimae kumekucha na milembe nimekushusha. Na geti likifungwa naondoka 👉🏾 NDI NDI NDI. ZE NDI NDI NDI 🚗🚗🚗🚗🚗🚗🚗🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽" kitu ambacho wengi wamedhani huenda ikawa ameamua kumjibu Alikiba.

Ukweli huo haujathibitika kuwa amemjibu au la!
yapi maoni yako?