Thursday, December 11, 2014

UNATAKA KUJUA TANZANIA NI YA NGAPI KATIKA NCHI ZENYE WATU WENYE ROHO MBAYA.. HII HAPA

mujibu wa ripoti ya World Giving Index
2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi
zenye watu wenye roho mbaya barani
Afrika.
Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti
uliodhaminiwa na Charities Aid
Foundation (CAF) na kufanywa na
kampuni ya utafiti ya Gallup na kuhusisha
nchi 135 duniani kote. Data hizo
zilikusanywa kuanzia mwaka 2013.
Tanzania ilikamata nafasi ya 14 kati ya
nchi 24 zilizofanyiwa utafiti na kukamata
nafasi ya 87 duniani ikiwa na asilimia 27
nyuma ya Kenya ambayo imekamata
nafasi ya kwanza Afrika na nafasi ya 15
duniani ikiwa na maana kuwa ina watu
wakarimu na wanajitolea zaidi kusaidia.
Nchini zenye watu wenye roho mbaya
zaidi ni Tunisia, Misri na Congo.
Utafiti huo ulifanywa kwa kuwauliza
washiriki kama wamewahi kufanya
mambo haya:
Wamechanga fedha kwenye charity
yoyote, wamejitolea kusaidia taasisi
yoyote, kumsaidia mtu asiyemfahamu au
kumsaidia wasiyemfahamu baada ya
kumuomba msaada.
Marekani imeongoza kwenye orodha hiyo