Showing posts with label RECORD. Show all posts
Showing posts with label RECORD. Show all posts

Sunday, June 19, 2016

Dokta Atoboa Siri 8 Mimba za Wema Sepetu Kuyeyuka

Imevuja! Kuyeyuka au kuharibika kwa ule ujauzito wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ‘Madam’ hivi karibuni kumetajwa na daktari kuwa ni matokeo ya tabia yake ya kukaidi ushauri wa kitaalam, Amani lina cha kuwapa wasomaji wake.

Hayo yalisemwa na mtu wa karibu we Wema (jina lipo) akizungumzia  masharti ambayo daktari aliyepata kumtibu mrembo huyo aliyasema. Lakini pia, daktari mwingine wa jijini Dar, Dk. Fadhili Emily naye ameibuka na kuliambia Amani kuwa, Wema ana sababu 8 za mimba zake kuyeyuka akiwa anajua au hajui.

DAKTARI WA KWANZA
Mtu huyo wa karibu na Wema alisema mimba ambayo staa huyo aliifanyia shoo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na kuyeyuka Februari, mwaka huu, ilitokana na sababu ya kugoma kutii masharti ya kitabibu.

SABABU YA KWANZA
“Vipimo vya kitabibu vilisema kuwa Wema alitakiwa kupumzika kwa muda mrefu ili kuilinda mimba hiyo kwani ilikuwa katika hatihati ya kutoka kama mhusika atakuwa ni mzururaji. Sasa Wema akiwa mjamzito alikuwa hakosi viwanja.”

USHAHIDI
Februari, mwaka huu, akiwa mjamzito, Wema alihudhuria tukio la uzinduzi wa Video ya Lupela iliyozinduliwa na Alikiba Salehe kwenye Hoteli ya Slipway, Oysterbay jijini Dar.

SABABU YA PILI
“Ilifika wakati, Wema alitakiwa kupewa bed rest (mapumziko ya kitandani) ili kulinda mimba yake. Hilo nalo likawa gumu kwake kukubaliana nalo. Ndiyo ikawa sababu ya mimba kutoka.”

SABABU YA TATU
“Sababu ya tatu, aliambiwa na daktari wake asifanye kazi ngumu, jambo ambalo lilikuwa likimshinda. Yeye si mtu wa kukubali kukaa tu muda wote. Hilo nalo lilichangia.”
Wema SepetuWema akiwa na mama yake mzazi

SABABU NYINGINE 5
Naye Dk. Fadhili, akizungumza na gazeti hili Jumatatu iliyopita, alisema sababu tatu ambazo zinadaiwa zilichangia mimba ya Wema kuyeyuka ni za kweli, lakini akasema Wema bila kujijua au akijua, mimba zake kadhaa zimeshatoka kwa vile wanawake wengi wenye matatizo ya kutoshika mimba, hushika na kutoka bila wenyewe  kujijua na pia akaanika sababu za hali hiyo kumtokea mwanamke.

Lakini akasisitiza kuwa kuharibika kwa mimba ni tatizo ambalo linaweza kumkumba mwanamke yeyote, si Wema tu.

SABABU ZA KIMAUMBILE
“Sababu za mimba kutoka zenyewe zinatajwa kwamba ni tabia ya kurithi, yaani vinasaba ambavyo si vya kawaida. Kwa hiyo, kiumbe kinakuwa katika hali ambayo kwa asili mimba haiwezi kukua.  Kama mtoto akizaliwa basi atakuwa na matatizo ya kimaumbile na kiakili.”

SABABU YA MUUNGANO
“Sababu nyingine ni kukosekana kwa yai lililorutubishwa.  Katika kuumba, yai la mwanamke hukutana na mbegu ya mwanaume na zoezi la kiumbe kukua huanzia hapo kwa yai kujitenga mara mbili.  Upande mmoja hutengeneza kondo la nyuma na kifuko cha kutunza maji na sehemu ya pili hutengeneza kiumbe au mtoto.

“Huwa inatokea sehemu ya kondo la nyuma inaendelea kukua wakati sehemu ya mtoto haikui. Katika hali kama hii, kama mama hajafanya vipimo kujua maendeleo ya mtoto, uwezekano wa mimba kutoka kabla ya kufikisha wiki 24 ni mkubwa.

“Lakini hili la muunganiko nasema pia kwamba, kwa mwanamke ambaye mimba yake inahofiwa kutoka, ni hatari kuendelea kukutana kimwili na mwanaume wake kwani uwezekano wa kutoka ni mkubwa.”

KUHUSU IDRIS
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba walikuwa wakiendelea ‘kukutana’, lakini kipindi cha ujauzito wake, Wema na Mbig Brother, Idris Sultan uhusiano wao ulikuwa umekolea.

SABABU YA POMBE
“Sababu nyingine inayochangia kuharibika kwa mimba ni unywaji wa pombe kupita kiasi kwa mama mjamzito au kuvuta sana sigara,” alisema dokta huyo.

SABABU YA MAGONJWA
Sababu nyingine alizitaja kuwa ni magonjwa yanayoshambulia mwili wa mama na kiumbe wake tumboni kama vile malaria na kaswende.

SABABU YA KUTOA MIMBA
Daktari huyo alisema kuwa, mwanamke kutoa mimba mara kwa mara kunachangia kuharibika au kushindwa kunasa mimba baadaye.

“Lakini si lazima awe anatoa mimba mara kwa mara, mwanamke anaweza kutoa mimba mara moja tu ikiwa katika mazingira ya ukuaji salama. Hilo linaweza kuwa tatizo kubwa la mimba kutoka siku za usoni,” alisema.

USHAHIDI
Katika mahojiano na gazeti damu moja na hili, Risasi Jumatano mwaka jana, Wema alikiri kuwahi kutoa mimba moja tu ya aliyekuwa staa wa filamu za Bongo, marehemu Steven Kanumba.

WEMA ASAKWA
Mpaka juzi Jumanne, gazeti hili lilikuwa limetimiza siku saba za kumsaka Wema kwa ajili ya kupata vielelezo vyake kufuatia madai au maelekezo hayo ya daktari lakini bila mafanikio kwani hapokei simu na hata alipotumiwa ujumbe mfupi, nao hakuujibu

Chanzo:GPL

Saturday, June 4, 2016

Zari ni Mjamzito tena!!! Mama Nasibu Athibitisha Kwa Maneno haya

Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina

Kupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond Platnumz amepost picha ya pamoja akiwa na Diamond Platnumzpamoja na Zari na kuandika "ETI MAMA .K...".


Sunday, May 1, 2016

Usher Raymond atikisa Snapchat kwa picha za utupu

Picha za uchi zimeonekana kuwa ni moja ya njia za kupata kick kwa wasanii wa nje. Mwanzoni ilionekana picha hizo zinapigwa na mastaa wa kike zaidi kama, Kim, Amber Rose na wengine lakini Usher Raymond amebadilisha huo mtazamo.
33A19AC200000578-3564496-Fans_also_got_to_join_the_R_B_star_as_he_brushed_his_teeth_holdi-m-143_1461877863092
Msanii huyo mwenye heshima kubwa duniani, ameshtua mtandao baada ya kupost picha akiwa anaoga nusu utupu. Moja kati ya picha hizo inamuonyesha Usher akiwa mtupu kabisa bila nguo.


33A1342500000578-3564496-Hot_in_herr_The_producer_sweated_it_out_in_the_sauna_and_shared_-m-146_1461877988197
note:picha nyingine zikonje ya Maadili..

Thursday, April 28, 2016

PICHA 12: Inawezekana Daraja la ‘Kigamboni’ siku likaingia kwenye list kama hii?

Mtu wangu tumeshuhudia Daraja linalounganisha Kigamboni na Kurasini likizinduliwa hivi karibuni na daraja limepewa jina la ‘Nyerere Bridge’, daraja hilo limekuwa kivutio kwa wengi ndani na hata nje ya nchi.
nyerere bridge
Daraja la Nyerere ni daraja kubwa na la kisasa Afrika Mashariki na kati, uzuri na mvuto wa daraja la Mwl Nyerere ‘Kigamboni’ inawezekana ukaliingiza kwenye hii list ya haya mengine Duniani mapya yenye muonekano Mzuri? ambayo list hiyo imetolewa kupitia mtandao wa CNN April 27 2016, yatazame halafu niachie comment yako mtu wangu.
.
Garden Bridge, (London, UK) ‘bado linaendelea kujengwa’ tayari kuna zaidi ya madaraja 30 yanayokatiza mto huo huko London lakini mradi huu mpya unaonekana kuwa kabambe zaidi. Designer Thomas Heatherwick amebuni daraja hilo kwa namna ya kufunikwa na bustani
.
Danjlang Bridge (Talpel, Taiwan)
.
Lucky Knot Bridge (Changsha China) daraja hili limepangwa kufunguliwa baadae mwaka huu, jina na muonekano wake unatokana na mapambo ya kichina ambayo yanahusishwa na bahati.
.
Solvesborg Bridge (Solvesborg, Sweden)
.
Hellx Bridge(Marina Bay, Singapore) 
.
Koge North Station (Koge, Dernmark)
.
Puente Laguna Garzon (Garzon, Uruguay)
.
Sarajevo Bridge (Barcelona, Spain)
.
Cirkelbroen (Copenhagen, Dernmark)
.
Zhangjlajle Canyon Bridge (Zhangjlajle city, China)
.
Nine Elms Bridge (London, UK)

Thursday, April 7, 2016

Uliiona Picha Ya Diamond Platnumz Kutoboa Pua?! Ukweli Ninao Hapa


Kwa saa kadhaa zimeenea taarifa za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa pua.
Ukweli ukoje? …ukweli ni kwamba Diamond hajatoboa pua kama wengi walivyodhani ambapo Meneja wake aitwae Sallam aliwajibu hivi mashabiki walioanza kuuliza >>> ‘Usiamini kila unachoona kwenye picha au unachoambiwa, mlikuwa mmelala sana amewaamsha kidogo’
SK
Maneno ya Meneja Sallam yanamaanisha kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha nyingine inayoonekana hapa chini akiwa fresh kabisa watu wasiendelee kupanic.
Diamond 2

Wednesday, April 6, 2016

Jokate aamua kutumia wimbo wa Ndi ndi ndi kumjibu Alikiba kuhusu Wife material!



Jana kwenye eNewz ya EATV, Alikiba alizungumzia kuhusiana na wife material wake 'Alikiba hoi kwa Jokate, Ashindwa kuelezea kama ni wife material au la!' ambapo alisema kuwa "...watu sikuhizi wanasahau kuwa Wazee wetu walikuwa wanachagua vipi msichana, Siotu mnaoana tu basi mependana tu mnakaa ndani... lazima muwe marafiki..."

Mapema leo Jokate ambaye alikuwa mpenzi wa Alikiba ame post picha nakuandika "Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote, kama ni jipu lilivimba zaidi. Nikasahau chizi huwa haponi kama chozi mvuani. Hatimae kumekucha na milembe nimekushusha. Na geti likifungwa naondoka 👉🏾 NDI NDI NDI. ZE NDI NDI NDI 🚗🚗🚗🚗🚗🚗🚗🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽" kitu ambacho wengi wamedhani huenda ikawa ameamua kumjibu Alikiba.

Ukweli huo haujathibitika kuwa amemjibu au la!
yapi maoni yako?

Sunday, April 3, 2016

Ona Gereza Linaloongoza Duniani Kwa Unyama


Majambazi wa nchini El Salvador wakihamishwa kutoka gereza la Izalco kwenda gereza la San Francisco Gotera


Uongozi nchini El Salvador wamehamisha wafungwa kutoka kwenye magenge mawili na kuwaingiza kwenye gereza moja kwa mara ya kwanza, ili kuwazuia wasifanye shughuli wakiwa gerezani.

Hawa ni majambazi wa genge la Barrio 18
Picha za ajabu inaonyesha wamefungwa pingu kutoka kwenye genge maarufu Barrio 18 wakiongozwa kuingia kwenye basi kutoka kwenye gereza la Izalco kwenda San Francisco Gotera katika jitihada za kupambana na uhalifu.

Wakiwa wamefungwa pingu kwa namna yake
Wanachama 1,177 wa genge la Barrio 18 walihamishwa.

Majambazi hao walichanganywa na mahasimu wao
Na hawatawekwa pamoja kutokana na magenge yao, bali kwa uhatari wao.

Majambazi hawa wanahusika na mauaji ya polisi 20, wanajeshi wawili, askari magereza sita na mwendesha mashtaka
Sera ya kuchanganya magenge pamoja ilikuja wakati maafisa walipogundua kuwa magenge yalikuwa yakielekeza shughuli za uhalifu kutokea gerezani.

Majambazi hawa wamekuwa wakiendesha uhalifu ilhali wapo gerezani

Januari, uongozi wa serikali ya El Salvador waliagiza polisi kuwapiga risasi majambazi hawa bila woga wowote

Majambazi wa Berrio 18 wakishuka kwenye basi

Jambazi akiwa amepozi katika gereza la Izalco mwaka 2013

Mfungwa wa genge la Mara 18 akiwa amepozi gereza la Izalco Mei 20, 2013

Mfuasi wa genge la Mara Salvatrucha akiwa nchini Honduras 2006

Kiongozi wa zamani wa Mara Salvatrucha akiwa Honduras 2008

Shetta Aoga Matusi Mtandaoni Baada Ya Kupost Picha Hii Katika Akaunti Yake Ya Instagram

Mwanamuziki ambaye anatikisa na ngoma ya Shiko robo, Shetta, amejikuta kwenye hali ya kumwagiwa matusi baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akimnyonya mwanamke huyu denda na kuandika "My lovely wife....!! #MamaQayllah"Account hiyo ya Shetta hakuwa na picha yoyote kwa wakati huo mbali na picha hiyo ambayo baadaye aliweza kuifuta na kupost tangazo la radio moja nchini ambalo ndilo lipo hadi hivi sasa.
Matusi aliyo shushiwa ni kwanini amefanya hivyo...
@kenedyjohn31 Usenge m2pu Islamic gani wewe usie na haya boya wewe@kenedyjohn31Nay hajakosea hata kdogo@pacha_wa_mama_yangu Kaz ipo kule shoga yangu mi ngachokaa @manzyleah_17@officialkibadeus Jieshim@officialshetta@chalzbwax Amna kitu @salmakisoma@lucy_de_jose Oky,,days cute,c kasema mkewe jamn,,,,,@iddmejajiHeshima gani ss hio ama kweli ukiwa mshamba unakuwa mshamba wa kila kitu duh pole ni utoto ukikua utaacha...@jesejohn Upumbavu mtupu@johnn_mwangi Kuna wasanii wadanada ila sheta kazidi#shika adabu yako..@hazeemabdulazizi Kweli sio maadili ya watanzania ivyo mbona unataka kujishusha thamani@amyrashaeyzwamerudiana

Hizo ni baadhi ya comment ambazo nimeona nikuwekee kutoka kwenye post hiyo. Wewe kwa mtazamo wako, Unadhani Shetta amefanya sawa kutupia picha hiyo?

Tuesday, March 29, 2016

Top Ten Ya Nyoka Wenye Sumu Kali Duniani

1. Belcher’s Sea Snake

The most deadliest and poisonous snake known to mankind. Found in Northern Australian and Southeast Asian waters, half a bite will kill 1000 humans with less than a 1/5 of its bite containing venom. The Belcher’s Sea Snake is docile, and it’s mainly fishermen who suffer the wrath when they encounter it while pulling fishing nets from the sea.

2. Inland Taipan

Although a sub-species of the Taipan, the extraordinary Inland Tapian deserves a place of its own in the list. This snake has by far the most deadliest venom for any land snake, and with that making it the most deadliest snake on land. Its venom has the ability to kill 100 human beings and 50 times more potent than the Cobra. Fortunately the Inland Taipan is rare and not aggressive. A bite can kill a human in 45 minutes although no fatalities have ever been recorded.

3. Blue Krait

The Blue or Malayan Krait is the most deadly in its species. Found in Southeast Asia, fatality rates from its bite are 50% even after antivenin administration. Blue Kraits kill other snakes including Kraits. Because of their nocturnal nature, they are more aggressive in dark conditions. In general they are timid and shy creatures, and would rather hide than attack. Their neurotoxin venom is 15 times more potent than the Cobra. A bite will cause paralysis followed by cramps, spasms and tremors. Bites are rare, but before antivenin was developed, fatality rates were at 85%. Even after the administration of antivenin, survival is not guaranteed. Death from a Blue Krait bite normally occurs between 6 and 12 hours. Patients may also suffer a permanent coma if medical attention is delayed.

4. Taipan

Another Australian resident, the Taipan contains enough deadly venom to kill 12,000 guinea pigs from a single bite. The venom causes blockage in the veins and arteries and blood clotting. Tapian venom is very neurotoxin and before the inversion of antivenin, no one survived the Taipan bite. Death normally occurs within 30 minutes to an hour, and even after administration of antivenin, the victim may remain in critical condition. Its behavior is closely linked to the Black Mamba.

5. Black Mamba

The Black Mamba is the most feared snake in Africa. It is very aggressive and will strike with absolute accuracy. Black Mambas are the fastest snakes on land with speeds of up to 25km/hr, and they can strike 12 times continuously. To add-on their ferocity, Black Mambas are known to even purse human beings. Its rapid acting neurotoxin venom can kill 25 adults. Symptoms of a bite will include; severe confusion, double and blurred vision, abdominal pain, vomiting, shock, coma, respiratory arrest followed by death. Before antivenin, fatality rates from Black Mamba bites stood at 100%. Death occurs in 15 minutes to 3 hours after a bite.

6. Tiger Snake

The Tiger is found in outback Australia and its neurotoxin venom is very potent. Death from a single bite can be as rapid as 30 minutes, but normally takes between 6 and 24 hours. Before antivenin was developed, fatality rates stood at 70%. Symptoms from a Tiger snake bite will include; pain in the foot, neck, numbness, tingling and sweating. This will be coupled by paralysis and difficulty breathing. Tiger snakes normally flee when encountered, but if cornered they will strike with maximum precision.

7. Philippine Cobra

Although most Cobra species don’t make the list, the Philippine Cobra is an exception. Its venom is by far the most deadly among the Cobra species, and it’s capable of spitting lengths of 3 meters. The venom is neurotoxin and affects respiratory and cardiac function. A bite can cause respiratory paralysis, neurotoxicity and even death within half an hour. Symptoms will include; nausea, headache, abdominal pain, vomiting, dizziness, convulsions, collapse and diarrhea.

8. Vipers

Vipers are common throughout the world, but the most poisonous snakes of them is the Chain Viper and the Saw Scaled Viper found in China, India, Central Asia, Middle East and in Southeast Asia. Vipers are short-tempered and very aggressive. They are nocturnal and very fast, normally appearing after the rains. A viper bite will result in excruciating pain at the point of bite followed by swelling. Common symptoms will include, bleeding gums, a drop in blood pressure and heart rate. The affected limb will suffer blistering and in certain cases facial swelling and vomiting.  The swollen area may suffer discoloration as plasma and red cells leak into the muscles. Death from cardiac or respiratory failure may occur within 14 days of the bite.

9. Death Adder

This befitting named snake is found in parts of New Guinea and Australia. Death Adders hunt down and kill other snakes normally via ambush. They look similar to the viper family with their triangular shaped heads and squat bodies. A typical bite will contain between 40 and 100mg of venom, and if untreated making it one of the worlds deadliest bites. Death Adder is neurotoxin and may cause paralysis and death within 6 hours. Antivenin is useful in treating Death Adder bites, but before its development the fatality rate from a bite stood at 50%. Death Adders have the quickest strike in the world, the snake can strike and return to striking position less than a 0.1 of a second.

10. Rattlesnake

This is the only snake from the Americas that makes part of the list. The rattlesnake is identifiable by the rattle at the end of its tail. Rattlesnakes fall under the Pit Viper family, and they can strike up to a range of 2/3rd their length. The most common venomous species in North America is the Eastern Diamondback. Baby rattlesnakes are considered more poisonous snakes than adults because of their inability to regulate the amount of venom injected. Rattlesnake venom is hemotoxic, that is it destroys body tissue, organs and causes coagulopathy (disruption in blood clotting). A rattlesnake bite will cause drooling, paralysis, difficulty breathing, scarring, hemorrhaging and possibly fatality. Untreated rattlesnake bites often lead to death. Antivenin can reduce the death rate to below 4% if applied on time.

Friday, March 25, 2016

Mashabiki Watafsiri Zari ana Mimba Baada ya Mdogo wake Diamond Kudaiwa Kuandika Ujumbe Huu

Wakati Diamond yupo Ujerumani kwa ajili ya tour yake ya Ulaya, Jumatano hii katika mitandao ya kijamii hasahasa instagram kunasambaa ujumbe ambao mashabiki wengi wa Diamond wameutafsiri Zari ana mimba nyingine ya Diamond.

Mtangazaji wa U heard ya XXL ya Clouds FM, Soudy Brown, alipost picha ya ujumbe huo na kuandika: Doh Blaza kishaloweka kwa Mara nyingine, haya T subiri mdogo wako on ze way.
Sudy

Baada ya ujumbe huo mashabiki wa Diamond amekuwa na maoni tofauti juu wa swala hilo.

Nurashammy
Safi sana Diamond waseme tena furaha mpaka nalala naviyato kwakwei kusikiya kama @zarithebosslady najuwa @diamondplatbumz haukosi kitu ila mimi kama shabiki wako ningependa kutowa zawadi ya tiffah

Tajibetese
Hivi nikweli naweza kufa kwa furaha @diamondplatnumz @zarithebosslady

Nurashammy
Safi sana @diamondplatnumz kusikiya kama @zarithebosslady ni mama kijacho ju yafuraha nalala na viyato kwakweli Mungu awape riziki

Mchagga_wa_mashati
Sijui na hii watahitaji tena DNA? Maanake wabongo kwa kutunga story. Hongera Z and D

Savefordpamela
Zaaa tu mumy yake kam Mungu amekupa uzur hakun wakukusaidia kulea wala matunzo husaidiw n.a. mtu.

Zaymuna
Azae hata 10 maadamu hajawaomba maziwa wala chakula cha wanae mwacheni Zari wa watu. Kwanza Mimba amebeba yy, afya inaruhusu , kizazi anacho, kulea atalea yy. Tukiwauliza kinachowakera ni nini mtakuwa na jibu kweli?? Wengine mama zao wamezaa mitoto kibao wapo hapa kumsema Zari hovyooo.

Zarimondtiffahplatnumz
@jessy_jay_jacob Dada kumbuka hawatumii condom sasa mimba imeingia. Unataka wakatoe? mwenzenu anazaa na wenye pesa, account ya tiffah inaweza kukulisha wewe na ukoo wako, wale soldiers ndo usiseme baba ana hela ka serikali ya miseven….muacheni Dada wa watu na bado akafyatua wa 2 nyumbu ndo basi tena maana naskia bado anamatumaini dai atamrudia. Inachoma kama pasiii

Jorgeoden
Huyu zari itakua ameiba mimba ya wema huyu…. #am_kidding