Mwanamuziki ambaye anatikisa na ngoma ya Shiko robo, Shetta, amejikuta kwenye hali ya kumwagiwa matusi baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akimnyonya mwanamke huyu denda na kuandika "My lovely wife....!! #MamaQayllah"Account hiyo ya Shetta hakuwa na picha yoyote kwa wakati huo mbali na picha hiyo ambayo baadaye aliweza kuifuta na kupost tangazo la radio moja nchini ambalo ndilo lipo hadi hivi sasa.
Matusi aliyo shushiwa ni kwanini amefanya hivyo...
@kenedyjohn31 Usenge m2pu Islamic gani wewe usie na haya boya wewe@kenedyjohn31Nay hajakosea hata kdogo@pacha_wa_mama_yangu Kaz ipo kule shoga yangu mi ngachokaa @manzyleah_17@officialkibadeus Jieshim@officialshetta@chalzbwax Amna kitu @salmakisoma@lucy_de_jose Oky,,days cute,c kasema mkewe jamn,,,,,@iddmejajiHeshima gani ss hio ama kweli ukiwa mshamba unakuwa mshamba wa kila kitu duh pole ni utoto ukikua utaacha...@jesejohn Upumbavu mtupu@johnn_mwangi Kuna wasanii wadanada ila sheta kazidi#shika adabu yako..@hazeemabdulazizi Kweli sio maadili ya watanzania ivyo mbona unataka kujishusha thamani@amyrashaeyzwamerudiana
Hizo ni baadhi ya comment ambazo nimeona nikuwekee kutoka kwenye post hiyo. Wewe kwa mtazamo wako, Unadhani Shetta amefanya sawa kutupia picha hiyo?