Oktoba 20 Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere alifanya mahojiano na waandishi wa habari nyumbani kwake Butiama Mara.
Hii ni sehemu ya mahojiano ambayo ina ujumbe wake kwa Watanzania wote ifikapo Oktoba 25, siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.