Monday, June 30, 2014

MH! BABA LEVO AAMUA KUISHI NA MKE WA JAMAA WAKE KISA ANAMDAI LAPTOP

baba levo
Katika wasanii ambao pengine ukipata nafasi ya kukaa nao kwa karibu unaweza kujikuta toka mwanzo wa maongezi hadi mwisho unacheka tu ni pamoja na Baba Levo,ingawa hua anaonekana mjanja mjanja sasa hapa kaingizwa mjini na mtu aliyesema kampa Laptop yake kisha kakimbia nayo.
Alipoulizwa na Soudy Brown kuhusu kuibiwa Laptop yake kasemani kweli na alichokiamua baada ya kutoka kuripoti polisi anaenda kumsubiri jamaa kwa mke wake mpaka atakaporejea na Laptop yake.
88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.
Bonyeza play kusikiliza


<<FAHAMU JINSI YA KUMUANDAA MPENZI WAKO KABLA YA KUPEANA MARAHA>>