Showing posts with label MBELE. Show all posts
Showing posts with label MBELE. Show all posts

Thursday, May 5, 2016

PICHA... Huyu ndie mrembo anaedaiwa kuchepuka na mume wa Tiwa Savage


Baada ya Afro Pop hit maker,Tiwa Savage anaefanya vizuri na hits yake mpya ya “If I Start To Talk” kufunguka juu ya yote yaliyojiri kwenye mahusiano yake na aliekua mume wake Tee Billz ambae alimtuhumu Tiwa kuchepuka na mastaa kadhaa nchini Nigeria kama 2 Face,Dr Sid na Don Jazzy,ambapo kwenye interviw na mtandao wa Pulse nchini Nigeria,Tiwa Savage alieleza jinsi Tee Billz alivyoathiriwa na matumizi ya cocaine huku akimnyanyasa kwa kuchukua fedha za malipo ya shows na kutimka nazo pamoja na kuchepuka na msichana ambaye Tiwa alidai kuwa alikuta text za msichana huyo kwenye simu ya mumewe huku namba yake ikiwa saved kwa jina “Edible Catering”na kuongeza kuwa mawasiliano yao yalionyesha walikutana hotelini ambapo inadaiwa Tee Bilzz alingonoka na mrembo huyo kabla ya kurejea kwake usiku wa manane.
Tiwa Savage & Tee Billz.
And now mtu asiefahamika amepost kwenye unknown account ya Instagram picha za mrembo huyo anadaiwa kuchepuka  na mume wa Tiwa Savage.Mrembo huyo ambaye anafahamika kwa jina moja la Tenny Coco ndie anaetajwa kutuma text usiku wa manane kwenye simu ya Tee Billz,text ambazo zilifumwa na Tiwa Savage.
Picha za mrembo huyo hizi hapa…
teny coco blast faceeeeeeeeeteeeeeny coco sexxxtenny coco 02222teeny coco 01
tenyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy                                                                     Tenny Coco.


Tuesday, March 29, 2016

Video ya Nicki Minaj akitupa simu ya mkononi ya mlinzi wake,sababu iko hapa

nicki-minaj
Wanasema unapolipwa kiasi flani cha pesa ili uweke ulizi juu ya mtu wakati anafanya jambo flani, ni muhimu utekeleze wajibu wako sababu huwezi jua usalama gani anahitaji mtu huyo mpaka kukupa wewe kazi.
Je alichofanya Nicki Minaj ni sawa, wengi wanasema ndio sababu mlinzi huyu hakuwa anafanya kazi yake, je angepanda mtu kwenye jukwa na kumthuru Minaj.

VIDEO: Hasira Za Nicki Minaj Baada Ya Kuona Mlinzi Wake Anachezea Simu Badala Ya Kumlinda

Hii ishu imetokea wakati Nicki Minaj akifanya show Dubai na kilichotokea ni kwamba Mlinzi wake huyo hakuwa makini na kazi, wakati Nicki yuko kwenye stage anaimba, akagundua kwamba upande wake wa kulia mmoja wa Walinzi wake hafanyi kazi inavyotakiwa maana kashika simu yake ya mkononi.
Nicki alichofanya ni kwenda kumnyang’anya ile simu alafu akaitupa nyuma ya stage kwenye upande ambao watu wake wengine walikuwepo na haikujulikana kama Nicki Minaj aliongea chochote baada ya show kumalizika ila media zimeripoti kukasirika kwake na kushindwa kujizuia kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.
.
Kitendo cha Nicki kutupa hiyo simu kimepokelewa tofauti, kuna wengine wamesema ni sawa sababu amemlipa yule jamaa kwa ajili ya kumlinda na sio kushika simu wakati wa kazi, wengine wamesema Nicki ameonyesha ni kiasi gani hana adabu kwa sababu angeweza kuvumilia hiyo ikapita.
nicki 2nicki 1

Wednesday, February 17, 2016

Mdogo Wa Kim Kardashian Atembea Utupu Mitaani

Kylie uchi (1)
Kylie Jenner atembea mitaani huku amevaa kivazi kilichoacha wazi sehemu zake nyeti.
MDOGO wa mwanamitindo na mtangazaji wa Kipindi cha The Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kylie Jenner hivi karibuni alibamba akiwa na kivazi kilichoanika maeneo yake ya sehemu nyeti.
Kylie uchi (3)
Kylie Jenner akizidi kukata mitaa na kivazi hicho.
Tukio hilo lilitokea pande za New York, Marekani ambapo Kylie (18) alikuwa katika moja ya matembezi yake lakini kutokana na nguo aliyovaa ilimfanya kuonesha wazi kabisa eneo lake nyeti.
Kylie uchi (2)
Hivi karibuni pia kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kylie aliposti picha tata (hapo juu) ikimuonesha eneo la nyuma huku akiwa ameshikilia kopo maalum lililokuwa na dawa za kuongeza makalio na matiti huku akidai yupo bize katika kufanya kazi na kampuni inayosambaza bidhaa hizo.

Tuesday, September 8, 2015

‘RAIS MTARAJIWA’ KANYE WEST NA MKEWE KIM WAHUDHURIA HARUSI YA BOSI WAO

12
Kanye West na mkewe, Kim Kardashian. 13
Kanye na mkewe, Kim.16
Kanye West.
5Mwanamitindo maarufu duniani, Kim Kardashian, alipokuwa akielekea kwenye harusi ya bosi wao.
7
Kanye na Kim
New York, Marekani
MWANAMUZIKI nyota wa Marekani, Kanye West na mkewe, Kim Kardashian, jana walihudhuria ndoa ya bosi wao katika tasnia ya muziki, Steve Stoute, na kuwa kivutio kikubwa walipoingia katika ukumbi wa harusi wakiwa wameshikana. Kanye ambaye alikuwa amevalia nguo za rangi nyeusi na ambaye ni mara chache kutabasamu, hivi karibuni amekuwa akiachia tabasamu ‘kubwa’ baada ya kutangaza kwamba atagombea urais wa Marekani mwaka 2020.

Friday, July 24, 2015

MAY D: SIKULIPA GHARAMA ZA STUDIO NILIPOFANYA KOLABO NA P-SQUARE

Mwimbaji maarufu wa Nigeria, May D.
MWIMBAJI maarufu wa Nigeria, aliyeshiriki na waimbaji P-Square katika wimbo wa ‘Chop my Money’ amekiri kwamba hakutegemea kufanya kazi na wanamuziki hao maarufu pia wa Nigeria na kwamba anashukuru kwamba hakulipa gharama zozote za studio wakati wa kurekodi wimbo huo.
P-Square.
Akihojiwa na shirika la Inspire Dot All kwenye kituo cha televisheni cha TVC kilichodhaminiwa na mtandao wa Nigeriafilms.com, alisema: “Wakati nafanya kazi na P-Square nilibahatika kwani sikulipa gharama zozote za studio.”
Aliongeza kwamba baada ya kurekodi na nyota hao, aliondoka na kwenda kurekodi na kampuni nyingine vibao vyake.

Friday, July 17, 2015

KIM KARDASHIAN ACHAFUKA TENA, VIDEO NYINGINE HII HAPA AKIFANYA NG*N* YAZAGAA

Los Angeles , Marekani
MTANGAZAJI maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian amezidi kuchafuka baada ya video yake nyingine aliyorekodi akifanya ngono kuzagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.



Video hiyo inamuonesha Kim akifanya ngono na mwanaume ambaye hakuweza kufahamika jina lake lakini kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari Marekani vinadai si mumewe, Kanye West.

Hiyo inakuwa video ya pili kwa mwanadada huyo ikimuonesha akifanya ngono baada ya ile ya awali ambayo alijirekodi akiwa na ‘Ex-boyfriend’ wake Ray J....

Saturday, July 4, 2015

AMBER ROSE AZIDI KUJIACHIA MTANDAONI ATUPIA PICHA NYINGINE ZA UTAMU LEO ASUBUHI


MWANAMITINDO Amber Rose ameamua kutupia

picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili
wake katika mtandao wa Instagram.
Amber ametupia picha hizo jana ikiwa ni siku moja
tangu aweke picha zeke nyingine zilizokuwa
zikionyesha maungo yake akiwa katika vazi la
bikini nyeusi.
Amber mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja,
ametupia picha hizo jana zenye unafuu kidogo
kuliko za juzi akiwa katika kivazi cha kijani
kikionyesha bikini yake ya kijani pia kwa ndani.
Staa huyo alikuwa katika pozi tofauti wakati
akijiachia na marafiki zake kwenye hoteli moja jijini
Miami nchini Marekani.

Monday, June 29, 2015

TASWIRA ZA TUZO ZA BET 2015 NA ORODHA YA WASHINDI

Diddy na Lil Kim wakifanya makamuzi katika utoaji tuzo za BET 2015 huko  Los Angeles nchini Marekani.
Janet Jackson akiwa na tuzo yake.
Rihanna katika pozi na Floyd Mayweather.
Rappa Nicki Minaj (kushoto) akiwa na Meek Mill.
Modo Blac Chyna (kushoto) akiwa na Amber Rose.
Karrueche Tran katika pozi.
Ciara.
Nicki Minaj.
Serayah.
Russell Wilson.
Kelly Rowland.
 Brandy.
Ifuatayo ni orodha ya washindi wa Tuzo za BET 2015 zilizofanyika jana kwenye Ukumbi wa Microsoft Los Angeles, California nchini Marekani.
Ultimate Icon, Music Dance Visual Award: Janet Jackson
Humanitarian Award: Tom Joyner
Best New Artist: Sam Smith
Best Female Hip-Hop Artist: Nicki Minaj
Best Male Hip-Hop Artist: Kendrick Lamar
Best Female R&B/Pop Artist: Beyoncé
Best Male R&B/Pop Artist: Chris Brown
Best International Act UK: Stormzy
Best International Act Africa: Stonebwoy
Best Group: Rae Sremmurd
Best Collaboration: Common & John Legend, "Glory"
Best Actress: Taraji P. Henson
Best Actor: Terrence Howard
Youngstars Award: Mo'ne Davis
Best Movie: Selma
Best Gospel Artist: Lecrae
Video of the Year: Beyoncé, "7/11"
Video Director of the Year: Beyoncé, Ed Burke & Todd Tourso
Sportswoman of the Year: Serena Williams
Sportsman of the Year: Stephen Curry
Coca-Cola Viewers' Choice Award: Nicki Minaj f/ Drake, Lil' Wayne & Chris Brown, "Only"
Centric Award: The Weeknd, "Earned It"
Fandemonium Award: Chris Brown
Lifetime Achievement Award: Smokey Robinson

Tuzo za BET 2015 zimeshatolewa tayari, list yote ya washindi ninayo hapa!

BET 2015Tuzo za BET Awards 2015 zilichukua headlines kubwa siku ya jumapili tarehe 28 June 2015 Los Angeles Marekani ambapo mc alikua ni Anthony Anderson na Trace Ellis Rose.
Wakali wa muziki kama Chris BrownNicki Minaj, na Rihanna na wengine walimiliki stage kwa kuperform. Janet Jackson pamoja na Smokey Robinson walikua baadhi ya watu waliopewa tuzo za heshima mwaka huu na BET.
Hapa chini nimekusogezea orodha kamili ya wale wakali wote waliopokea tuzo ya BET Award mwaka huu wachache wakiwemo Beyonce akiongoza na tuzo 3, Nicki Minajakiwa na 2, Kendrick Lamar, Big Sean, Chris Brown, John Legend wakiwa na tuzo moja kila mmoja na kwenye kile kipengele cha International Best Act: AfricaStonebwoy kutoka Ghana aibuka kidedea.
Stonebwoy-BET-Awards-winner
Best International Act: Africa; Stonebwoy (Ghana)
Hii hapa ndio orodha kamili ya wasanii wote waliopokea tuzo za BET Award, karibu uitazame mtu wangu.
Best International Act UK:
FKA Twigs
Fuse ODG
Lethal Bizzle
Little Simz
Mnek
Stormzy- Winner
Best International Act Africa:
AKA
Stonebwoy- Winner
Sarkodie
Fally Ipupa
Sauti Sol
Wizkid
The Soil
Yemi Alade
Best Female R&B/Pop Artist:
Beyoncé- Winner
Janelle Monáe
Jhene Aiko
Ciara
Rihanna
K. Michelle
Best Male R&B/Pop Artist: 
Chris Brown- Winner
Trey Songz
The Weekend
August Alsina
Usher
John Legend
Best Group:
A$AP Mob
Migos
Rae Sremmurd- Winner
Rich Gang
Young Money
Jodeci
Best Collaboration:
Chris Brown Ft. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”
Big Sean Ft. E-40 – “IDFWU”
August Alsina Ft. Nicki Minaj – “No Love”
Chris Brown Ft. Usher and Rick Ross – “New Flame”
Common and John Legend – “Glory”- Winner
Mark Ronson Ft. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Best Male Hip-Hop Artist:
Kendrick Lamar- Winner
Common
Big Sean
Drake
J. Cole
Wale
Best Female Hip-Hop Artist:
Azealia Banks
Dej Loaf
Iggy Azalea
Tink
Nicki Minaj- Winner
Trina
Video of the Year:
Beyonce – “7/11”- Winner
Big Sean Ft. E-40 – “IDFWU”
Chris Brown Ft. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”
Chris Brown Ft. Usher and Rick Ross – “New Flame”
Common and John Legend – “Glory”
Nicki Minaj – “Anaconda”
Video Director of the Year:
Benny Boom
Beyonce, Ed Burke and Todd Tourso – Winner
Chris Robinson
Fatima Robinson
Hype Williams
Best New Artist:
Bobby Shmurda
Dej Loaf
Fetty Wap
Rae Sremmurd
Sam Smith- Winner
Tinashe
Best Gospel Artist:
Michelle Williams
Erica Campbell
Deitrick Haddon
Fred Hammond
Mali Music
Lecrae- Winner
Best Actress:
Gabrielle Union
Kerry Washington
Taraji P. Henson- Winner
Tracee Ellis Ross
Viola Davis
Best Actor: 
Anthony Anderson
Idris Elba
Jussie Smollet
Kevin Hart
Terrence Howard- Winner
Youngstars Award:
Jacob Latimore
Jaden Smith
Mo’ne Davis- Winner
Quvenzhane Wallis
Zendaya Coleman
Best Movie:
“Annie”
“Beyond the Lights”
“Selma” – Winner
“Think Like a Man Too”
“Top Five”
Sportswoman of the Year: 
Brittney Griner
Candace Parker
Serena Williams- Winner
Skylar Diggins
Venus Williams
Sportsman of the Year: 
Chris Paul
Floyd Mayweather Jr.
LeBron James
Marshawn Lynch
Stephen Curry- Winner
Viewer’s Choice Award: 
The Weekend –“Earned It”
Kendrick Lamar – “I”
Dej Loaf – “Try Me”
Rae Sremmurd Ft. Nicki Minaj and Young Thug – “Throw Sum Mo”
Beyonce –“7/11”
Nicki Minaj Ft. Drake, Lil Wayne and Chris Brown – “Only” – Winner
Centric Award:
Avery Sunshine – “Call My Name”
Jazmine Sullivan Ft. Meek Mill – “Dumb”
Mark Ronson Ft. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Sam Smith Ft. Mary J. Blige –“Stay With Me”
The Weekend – “Earned It” -Winner.