Thursday, May 5, 2016

PICHA... Huyu ndie mrembo anaedaiwa kuchepuka na mume wa Tiwa Savage


Baada ya Afro Pop hit maker,Tiwa Savage anaefanya vizuri na hits yake mpya ya “If I Start To Talk” kufunguka juu ya yote yaliyojiri kwenye mahusiano yake na aliekua mume wake Tee Billz ambae alimtuhumu Tiwa kuchepuka na mastaa kadhaa nchini Nigeria kama 2 Face,Dr Sid na Don Jazzy,ambapo kwenye interviw na mtandao wa Pulse nchini Nigeria,Tiwa Savage alieleza jinsi Tee Billz alivyoathiriwa na matumizi ya cocaine huku akimnyanyasa kwa kuchukua fedha za malipo ya shows na kutimka nazo pamoja na kuchepuka na msichana ambaye Tiwa alidai kuwa alikuta text za msichana huyo kwenye simu ya mumewe huku namba yake ikiwa saved kwa jina “Edible Catering”na kuongeza kuwa mawasiliano yao yalionyesha walikutana hotelini ambapo inadaiwa Tee Bilzz alingonoka na mrembo huyo kabla ya kurejea kwake usiku wa manane.
Tiwa Savage & Tee Billz.
And now mtu asiefahamika amepost kwenye unknown account ya Instagram picha za mrembo huyo anadaiwa kuchepuka  na mume wa Tiwa Savage.Mrembo huyo ambaye anafahamika kwa jina moja la Tenny Coco ndie anaetajwa kutuma text usiku wa manane kwenye simu ya Tee Billz,text ambazo zilifumwa na Tiwa Savage.
Picha za mrembo huyo hizi hapa…
teny coco blast faceeeeeeeeeteeeeeny coco sexxxtenny coco 02222teeny coco 01
tenyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy                                                                     Tenny Coco.