Saturday, July 4, 2015

AMBER ROSE AZIDI KUJIACHIA MTANDAONI ATUPIA PICHA NYINGINE ZA UTAMU LEO ASUBUHI


MWANAMITINDO Amber Rose ameamua kutupia

picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili
wake katika mtandao wa Instagram.
Amber ametupia picha hizo jana ikiwa ni siku moja
tangu aweke picha zeke nyingine zilizokuwa
zikionyesha maungo yake akiwa katika vazi la
bikini nyeusi.
Amber mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja,
ametupia picha hizo jana zenye unafuu kidogo
kuliko za juzi akiwa katika kivazi cha kijani
kikionyesha bikini yake ya kijani pia kwa ndani.
Staa huyo alikuwa katika pozi tofauti wakati
akijiachia na marafiki zake kwenye hoteli moja jijini
Miami nchini Marekani.