Toka Juzi Jamaa mmoja anayejiita Kinglawrenc ambaye inasemekana ni Dereva wa watoto wa Zari huko kwa mume wake amekuwa akiongea mambo mengi ya kumzalilisha Zari kiwemo kusema kuwa ameshalala nae kimapenzi...
Haha yaani huyu dereva aisee hata hajielewi kwa vyovyote kashajua kua Zari ndio habari yanmujini na anajua kua sisi watz tunapenda sana ma umbea akaona aje na style hii ili nae apate followers na kweli kapata maana wabongo na insta kama tumeianzisha sisi yaaani maana waganda wenyewe wala hawashoboki sisi bwana duuh .. Sasa huyu kama ni kaka wa lvan au ndio cuzin iweje saa akalale na shemeji yake kama sio uongo huo nini kwa hiyo yeye ndio anahasira sana kushinda lvan au ?! Kama wewe una uchungu sams mbona na wewe umemzunguka lvan basi!! Alafu cha ajabu Zari hata hawafatilii hao watu kabisa wao ndio choko choko zimewajaaa waacheni Zari na dangote kivyao zari homa Ya jiji kwa kweli daah