Picha ya kulia kabla ya majanga.. Mwanamitindo ambae alichukua nafasi ya pili ya pili katika Shindano La Miss BumBum huko Brazil, mwanadada huyo ameweka wazi madhara yaliyomkuta baada ya kufanyiwa upasuaji na kutengenezwa shepu yake ili aweze
kuwa na muonekano mzuri.
Andressa Urach mwenye miaka 27, alitumia muda wa mwezi mmoja katika chumba cha watu
mahututi na aliogopa kupoteza mguu wake baada ya sehemu alizofanyiw upasuaji na
kuwekea vitu kuanza kuozesha misuli na vitu hivyo vilivyojazwa vilitakiwa viondolewe katika
mwili wake, ili kuondoa sehemu hizo zilizokuwa zimedhurika na kutishia maisha yake.
Picha zinazoonekana zikionesha jinsi Urach alivyoathirika kutokana na upasuaji huo wa kutengeneza umbo lake kwa kuongeza mapaja na makalio, Brazil imeipita U.S. kwa kufanya masala haya ya urembo wa kufanyiwa upasuaji.
Miss Urach anasema ameshwahi kufanya mapenzi na Cristiano Ronaldo, na amsema
ameshashawahi kufanya upasuaji kama mara nane katika miaka minane iliyopita. Upasuaji huo unahusisha pua, uso kurekebishwa taya na kuongezwa matiti, lips na hata kupunguza mashavu ya uke.
Chanzo:Usipojipanga