Friday, January 2, 2015

FILAMU MPYA YA MANAIKI YAITIKISA NCHI, WASANII KIBAO WAHUSIKA!!!!!, WACHEKI HAPA

 
Mastaa mbalimbali kama wanavyoonekana wakiwa Location kwenye filamu hiyo mpya ya msanii Manaiki Sanga the Don iitwayo Wake Up , Zaidi ya wasanii 30 Mastaa wameshiriki kucheza 
 
Mzee Majuto akiwa kazini na wasanii wengine ndani ya Wake Up.

 
Mastaa nyota wa filamu nchini Irene Uwoya na Hemed Suleiman kama wanavyoonekana wakiigiza filamu hiyo ya Wake Up huko Mkoani Morogoro
 
Jackline Wolper vs Irine Uwoya ambao wamechuana vikali ndani ya filamu hiyo ya Wake Up ya msanii Manaiki Sanga " The Don"


 
Frola Mvungi na Mama Abdul wakiwa mzigoni kumalisha sehemu ya filamu hiyo ya kwanza nchini Tanzania kuchezeswa mastaa zaidi ya 30 pamoja haijawahi tokea
 
Wasanii Kajalia Masanja na mwenzake wakikamua ndani ya filamu ya Wake Up, ambapo kulikuwa na upinzani mkali sana wakati wa kuigiza ili kila mtu asionekane kucheza ndani ya kiwango.