Saturday, December 27, 2014

MASHABIKI WAMPONDA ALIKIBA KWA KUACHIA VIDEO MBAYA YA MWANA AMBAYO HAIENDANI NA AUDIO


Laty Side video haiendani na alichoimba yan nikupiga wimbo wa taifa disco

Fad Marlon Fad Mbay hyo jamaa kwnye video amwachie WCB maan hyo video nkama kuchanganya msiba na haruc mahar pamoja dhumuni la nymbo na video tofaut


Juma Sabuni Video mbaya kiukweli na ubaya wa video haieleweki yeye mwenyewe hajitambui mfano kipande cha kuongea na kioo ni pumba zaid mi nakubali audio kuliko video

Chrîss Jüniör yaan bora hata mbagala


Nurdeen Kipendo B:siikubali coz alichoimba na kwenye video tofauti kwa staili iyo hatangojea xna kwa dangote


 Nick Mkali Wao Maudhui ya wimbo na video tofauti....video does not refrect an audio yaani ukiplay video afu ukazima sauti hupati picha kamili ya kinachoonekana na hata ukiunganisha matukio ya kwenye video bado hupati picha kamili kama inahusu MWANA.... Kucheza cheza barabarani na kukata viuno ndio audio ilichokuwa ikimaanisha au ? Amepoteza pesa tu za buree...Nibora angerudi kuektia KWAO KIGOMA

 ...
Chiwamba Songa Haimaanishi Script ya nyimbo iendane na Message 'hapana' ila kiukweli kabisa ukiachana na huo u-team KIBA! Script ya nyimbo yake mbovu kabisa! ila na yeye mwenyewe ukimwangalia tu unaona kabisa jamaa amepaniki, Location ndio imebeba video ila sio Script! ila tatizo litakuwa ni bajeti na Management, kwa mnaoufaham mzik mtakuwa mmenielewa nini nazungumza. siikubali

John Wambura Kapga wimbo wa taifa bar,alichoimba na video tofaut kabxa


LadyValentina Kabora video ilitakiwa hata kiziwi aelewe ama inawahusu wabongo tuuu tena ambao wanasikia. Ujumbe unatakiwa uwe effective wengne wameachwa nyuma. Sasa kilichobaki wengine tunawatafsiria marafiki zetu mwanzo mwisho kila kipande cha nyimbo... ndio nini sasa?


Emanuel Maina Kwa muonekano kwa maana ipo clear na views nzuri,ss issue ni haiendeni na anachoimba ,wimbo unachanganya frm thw start ye anatembea tembea tu ,in general ni mbovu na kauharibu wimbo


Duox Edward video ya kiba kuuza nje ni inshu coz hakuweza kuonesha uhalisia wa wimbo na vitendo ili hata kama mtu hajui lugha ni rahs ktambua maudhui ya wimbo kptia vitendoo.....xo ili kjenga mzk wa bongo lazma akbar kbadlika na apge kchupa kikal zaid.......sio unafk ni mtizamo tu.....cna team bt nashabikia mziki wwte mzriii.....plz kba change bro


Rashedi Said kiba hajuagi kutoa vidio nzur....mnaijua YAKARIMA ...?mliona ile vdo yani ni kituko ..mkmcfia tazidi kuaribu kila sku ...embu angalia vdo ya rich mavoko..acheni kimcfia mkosoeni ajifunze anawategemea nyie mkimkosoa ndo atafanya vzur xx kama mtu anaaribu mnmcfia ..nyimbo ya mwana inastori nzr xna lkn vidio haina stori




BOFYA PLAY NAWE TOA COMMENT YAKO HAPO CHINI