Tazama Picha za WEMA SEPETU Alivyopamba Mapokezi ya Lulu Michael Jana Kutoka Airport....
Kwa Mara ya Kwanza toka habari za ujauzito wa Wema kutoka Jana Amejitokeza hadharani kumpokea rafiki yake Lulu Michael Alipowasili kutoka Nigeria akiwa na tuzo mkononi..Wema Alipendeza Sana na kuonekana mwenye furaha muda wote wa msafara......