Kwa sasa Instagram ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa kutoa habari mbalimbali za wasanii, mabifu na makundi mengi yapo huko.Lakini hii kwa Jaqckiline Wolper imekuwa tofauti kidogo baada ya kukerwa na kitendo cha picha ya nusu utupu katika mablog mbalimbali iliyosemekana ni ya kwake.. bila kuchelewa ameamua kufunguka la moyoni kabisa!!