Wednesday, June 4, 2014

Msanii mwingine wa bongo muvi apata ajali mbaya akielekea kwenye msiba wa Tyson

FGF
MSANII huyu wakike kutoka Bongo Movies amepata ajali leo maeneo sinza kijiweni jioni ya jana akielekea kwenye msiba wa Geoge Tyson huko mbezi.
Shery Mwana alipatanajali hii baada ya daladala kugonga pikipiki kwa nyuma pikipiki hiyo iliombeba dada huyo na kusababisha ajali mbaya dada huyo kwa sasa yupo nyumbani kwake mabibo chuo cha usafirishaji jijini Dar, Baada ya kukimbizwa hospitali ya Serekali Palestina Sinza.
fgf2Mungu amjalie apone haraka dada yetu Shery Mwana