Sunday, November 9, 2014

Huyu Ndio Miss Tanzania 2014 Mpya Baada ya Sitti Mtemvu Kujivua Taji kwa Kashfa ya Umri

Baada ya Sitti Mtemvu 2014 kujivua taji rasmi
ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar
es Salaam leo Mshindi namba 2, Lilian
Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo.
Sitti alikuwa anashutumiwa kwa kugushi vyeti
na umri ili ashide u-miss ambapo ilizua
mjadala mkubwa