Saturday, November 8, 2014

BREAKING NEWZZZZZZZZZ:MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk.
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amejivua taji hilo leo, mshindi wa pili, Lillian Kamazima amrithi, Lundenga athibitisha. Habari kamili kuwajia baadae.