Tuesday, March 22, 2016

INASIKITISHA SANA.....mtu kapeleka dada yake hospital kwa ajili ya kujifungua ila hakukua na Dr wala nurse akafariki... Dada kaamua kumchana nduguye aokoe watoto walikua mapacha


Imetokea Cameroon... mtu kapeleka dada yake hospital kwa ajili ya kujifungua ila hakukua na Dr wala nurse akafariki... Dada kaamua kumchana nduguye aokoe watoto walikua mapacha, Mjamzito apoteza maisha baada ya kukosa msaada wa doctor ndg aamua kumpasua ili kuokoa maisha ya vichanga