MRITHI wa DK. SLAA CHADEMA Huyu Hapa...Je, Unadhani Ana Uwezo wa Kuvivaa Viatu vya Dokta na Vikamtosha?! #TETESI
#TETESI Zipo taarifa kwamba Lowassa amependekeza nafasi ya Dr.Slaa kama katibu mkuu wa chadema ijazwe na aliyekua mwenyekiti wa ccm mkoa wa Singida comrade Mgana Msindai (pichani). Kama taarifa hizi ni za kweli, unadhani mzee Msindai anao uwezo wa kuvivaa viatu vya Slaa na vikamtosha???kama hapana unadhani ni nani anaefaa kumrithi Dr. Slaa ambae hakuna dalili zinazoashiria kama atarejea ofisini mapema.
MGANA MSINDAI