Friday, July 17, 2015

KIM KARDASHIAN ACHAFUKA TENA, VIDEO NYINGINE HII HAPA AKIFANYA NG*N* YAZAGAA

Los Angeles , Marekani
MTANGAZAJI maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian amezidi kuchafuka baada ya video yake nyingine aliyorekodi akifanya ngono kuzagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.



Video hiyo inamuonesha Kim akifanya ngono na mwanaume ambaye hakuweza kufahamika jina lake lakini kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari Marekani vinadai si mumewe, Kanye West.

Hiyo inakuwa video ya pili kwa mwanadada huyo ikimuonesha akifanya ngono baada ya ile ya awali ambayo alijirekodi akiwa na ‘Ex-boyfriend’ wake Ray J....