TAMBO! Bonge la Bwana, Jacob Steven ‘JB’ amejitapa kuwa licha ya mwili wake kutoonekana wa mazoezi lakini yeye ni bonge la straika.
Bonge la Bwana, Jacob Steven ‘JB’.
Akistorisha na paparazi wetu, JB ambaye anatamba na filamu ya Shikamoo Mzee, alisema mpira alianza kucheza kitambo tangu alipokuwa akiichezea timu ya JKT Mgambo na Mutukula ya Mwananyamala Dar hadi sasa kwenye Klabu ya Bongo Movie wanamtegemea.“Kwenye mambo ya mpira mimi ni noma, ni bonge la straika, Bongo Movie wananitegemea, watu wasinichukulie poa niko fiti sana kimazoezi,” alisema JB.
<<FAHAMU JINSI YA KUMUANDAA MPENZI WAKO KABLA YA KUPEANA MARAHA>>