Saturday, July 12, 2014

TAZAMA PICHA, HIZI NDIZO STYLE TANO ZA NYWELE AMBAZO MADEMU WENGI WANAVUTIWA WANAUME WA KIAFRIKA WAKINYOA

Linapokuja swala zima la kunyoa mara nyingi wanaume tumekuwa tukipata tabu sana ambapo unajikuta saa  nyingine mpaka unafika saloon lakini bado hujapata uamuzi unanyoa mtindo gani siku hiyo, kwa kutambua hilo tumejaribu kuperuzi na kukupatia jibu sa hii juu ya kichwa cjhako, ifuatayo ni aiina ya unyoaji wa nywele kwa wanaume ambayo imedhibitika kwamba kina dada wengi wa kiafrika na kizungu ndio wanapenda sana sana mabwana zao wanyoe mara nyingi , tazama hapa ujaribu dizaini moja theni usikie demu wakio atakwambiaje, 
1
2
3

4