Monday, September 8, 2014

TAMASHA LA FIESTA 2014 LASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA KWA WAKAZI WA MUSOMA

Recho akifungua rasmi dimba la burudani.Wasanii Young Killer (kushoto) na Barnaba muda mfupi kabla ya kupafomu.Young Killer akikamua stejini.Barnaba akitoa burudani kwa mashabiki waliofurika Uwanja wa Karume mjini Musoma.DJ Zirro akikamua kwenye 'one and two'.Recho na Shilole wakiwa katika pozi.Nick wa Pili akiwakilisha familia nzima ya Weusi.Shilole akiwadatisha mashabiki jukwaani.Christian Bella 'Rais wa Masauti' akivuma ndani ya Uwanja wa Karume.Mkali wa Hip Hop, Roma akiliteka jukwaa ndani ya Mji wa Musoma.Kijana kutoka pande za Morogoro, Stamina akidondosha mistari yake ya Hip Hop kwa umahiriStamina na Nay wa Mitego wakiimba kwa pamoja wimbo wao mpya wa Huko Kwenu Vipi.
<<<USISAHAU KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK KWA MASTORI KIBAO MDAU>>>