Monday, September 8, 2014

ISABELA & KABULA WANASWA WAKISHUTI WAKIWA BWIII..MAPAJA NJE NJE!!

Wasanii wanaounda kundi la muziki la Scorpion Girls, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’(katikati) na Isabela Mpanda(kulia) wakilishambulia jukwaa.
Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita maeneo ya Kawe jijini Dar es Salaam ambapo wasanii hao walikuwa wakishuti video ya wimbo wao unaokwenda kwa jina la Tanzania ambapo walikuwa tilalila huku mikononi wakiwa wameshikilia pombe kali.
“Hii tunakunywa ili ipandishe stimu ya kuimba kwani bila ya kuwa tilalila tunakosa mzuka wa kuimba, unajua  ukitaka kuupatia muziki lazima uwe na mzuka wa kutosha hivyo hapa tunashtua ili kazi iende vizuri,” alisema Isabela.