Monday, September 8, 2014

BREAKING NEWZZ:AJALI NYNGINE MBAYA YATOKEA MAENEO YA GAIRO YAUA!!


Habari za hivi punde!! Ajali nyingine mbaya maeneo ya Kiegeya Gairo, gari la abiria kutoka dar-tabora limepata ajali mbaya kiasi kwamba watu karibia 48 wamepoteza maisha. Ni dakika 6 zilizopita. Picha hazifai kuonwa na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi..Viongozi Mbali mbali wa Serikali tunao hapa..Kwakweli ni majonzi vilio.
Air bus dar-tabora muda huu


TUTAKULETEA HABARI KAMILI BAADAE
-JF