Watu nane wafariki dunia na wengine wane kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Noah iliyokua ikitokea shinyanga kuelekea mwanza.
Ajali hiyo imetokea jana jioni Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza ambapo mashuhuda wa ajali hiyo wamedai chanzo chake ni mwendo kasi wa Dereva uliomfanya ashindwe kuimudu gari wakati akikwepana na lori.
Zaidi, angalia video hapo chini