Saturday, May 31, 2014

TAZAMA PICHA HIZI ZA MASTAA NDANI YA VAZI LA ZEBRA, NI SHIDA SANA, WEMA ATISHA MBAYA

Hii ni kama movie but sio movie ni wale mahasimu watatu wanaogombea kiti cha Who is real bongo star hapa tunawakutanisha mastar hawa wakiwa katika matukio tofauti huku wakiwa katika vazi la style moja.
Jokate, Wema na Lulu
Wema Sepetu, Miss Tzee 2006 aliye hot mpaka sasa alitupia Zebra trouser na T-shirt ya black akiwa katika harakati zake huko Hongkong , Diva huyo CEO wa Endless fame alitupia nguo hizo huku akiwa bize kuwahi ndege kurudi nchini baada ya kutoka mapumzikoni, Vazi hilo limekuwa maarufu sana kwa Mastaa hawa na sio umaarufu tu bali pia kuwatoa vizuri miili yao na shepu zao kali zinazosumbua hapa bongo.
wema2
Jokate, akiwa kama number tatu wa Wema katika Miss Tzee 2006 nae mwanadada huyo mwenye talent nyingi kiasi kwamba hata nyingine bado hajazitoa hewani, ni musician as well as Actress na pia ni mtangazaji, alitupia nguo hizo hizo na kumtoa sex ile mbaya. lakini Jokate ambae ni rival wa Wema Sepetu katika mambo mengi kuanzia kwenye u-miss mpaka pale walipojikuta wanachangia bwana mmoja kwani yeye alipiga suit nyeusi na trouser kama ya mwanadada huyo.
JOKETI3
Lulu, Foolish age star menye kila aina ya vituko hapa tunakutana nae akiwa katupia the same clothes lakini yeye katokelezea na gauni lenye muonekano kama wa Jokate na Wema kwa mtazamo wa haraka tu unawewza kugundua kama nguo za rangi hizo zinawatoa vizuri sana.
LULU