Tuesday, July 22, 2014

Baada ya filamu kumalizika,sikiliza alichokifanya Hemed PHD...SOMA ZAIDI



hmd
Inshu iliyofika mezani kwa mhariri Soudy Brown July 21 ni kuhusu madai yaliyotolewa na Lady Naa juu ya kitu alichosema si kizuri alichofanyiwa na Hemed PHD mara baada ya kumaliza kutengeneza filamu yao.
Madai ya Lady Naa amedai kuwa Hemed PHD aliondoka na bag lenye nguo zake na kila akimpigia simu Hemed amekuwa yuko busy kiasi cha kuhisi kuwa Hemed ana nia ya kumdhurumu,Hemed kapatikana na kuongelea hii isue.
87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza.