Wednesday, July 2, 2014

HIZI NGUO BHANA, TAZAMA SIKU AMANI WA KENYA ALIPOUMBUKA BAADA YA KISIKETI KUPANDA JUU NA KUMUACHA BIBI AKICHUNGULIA LIVE



 hii tabia ya wasanii wa kike kuvaa vinguo vifupi wakati wa kutumbuiza wanajikuta ikiwacost kwani wengi uambulia aibu ... mfano hii ya msanii amani wa kenya , yalimkuta akiwa stejini, kama unavyojua mziki ni kama kilevi unajikuta tu umepandisha zuka na kusahau nguo uliyovaa kama inuruhusu kufanya unachotaka kukifanya, dada huyo alipandisha mzuka na kuchuchumaa ambapo gauni lake lilipanda na kuacha noniino ikionekana kabisa, sasa kwa nini upate tabu yote hiyo jaman, kwa nini husivae angalau skin jinsi ili ujiachie vizuri bhana, hii iwe fundisho kwa wasanii wetu wa kibongo basi yasije kuwakuta ya huyu dada yetu