Tuesday, July 8, 2014

TAZAMA VIDEO MBILI MPYA ZA DIAMOND (BUM BUM NA MDOGO MDOGO) HAPA


Kama alivyoahidi, Diamond Platnumz ameachia video mbili za ngoma zake.
 Ya kwanza ni Mdogo Mdogo iliyoongozwa na Godfather na kufanyika Afrika Kusini na ya pili ni Bum Bum aliyomshirikisha Iyanya na kuongozwa na Mr Moe Musa nchini Uingereza. Zitazame hapa.
 
Hii ni video ya Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo


Hii ni video ya Diamond Platnumz Feat Iyanya – Bum Bum (Official Video)





KAMA HUZIONI VIDEO WAWEZA BOFYA HAPA
        >>Mdogo Mdogo<<



            >>Bum Bum<<