PICHA YA KINACHOENDELEA KWENYE MSIBA WA MKE WA AFANDE SELE, TAZAMA HAPA
Kila nafsi itaonja umauti katangulia mbele ya haki mama tunda tuchukue muda huu kumuombea dua MUNGU ailaze roho ya marehem paala pema amina pia namuomba MUNGU ampe moyo wa subira baba tunda afande sele kwa kipindi hiki kigumu inshaallah