Kuitwa kwenye Usahili:Orodha ya vijana wa kidato cha Sita na Nne waliochaguliwa
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na kidato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya kujiunga na Jeshi la Polisi.
Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa Tanzania Bara Kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapa chini:
NA | MIKOA | KITUO CHA USAILI | TAREHE ZA USAILI | MUDA WA USAILI |
1 | TANGA | OFISI YA RPC TANGA | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
2 | PWANI | OFISI YA RPC PWANI | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
3 | DSM ZONE | OFISI YA RPC ILALA,KINONDONI,TEMEKE | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
4 | MTWARA | OFISI YA RPC MTWARA | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
5 | LINDI | OFISI YA RPC LINDI | 08-11 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
6 | SIMIYU | OFISI YA RPC SIMIYU | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
7 | SHINYANGA | OFISI YA RPC SHINYANGA | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
8 | TABORA | OFISI YA RPC TABORA | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
9 | KATAVI | OFISI YA RPC KATAVI | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
10 | RUKWA | OFISI YA RPC RUKWA | 08-11 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
11 | KILIMANJARO | OFISI YA RPC KILIMANJARO | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
12 | ARUSHA | OFISI YA RPC ARUSHA | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
13 | MANYARA | OFISI YA RPC MANAYARA | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
14 | SINGIDA | OFISI YA RPC SINGIDA | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
15 | DODOMA | OFISI YA RPC DODMA | 08-11 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
16 | KIGOMA | OFISI YA RPC KIGOMA | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
17 | MWANZA | OFISI YA RPC MWANZA | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
18 | MARA | OFISI YA RPC MARA | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
19 | GEITA | OFISI YA RPC GEITA | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
20 | KAGERA | OFISI YA RPC KAGERA | 08-11 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
21 | MOROGORO | OFISI YA RPC MOROGORO | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
22 | IRINGA | OFISI YA RPC IRINGA | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
23 | MBEYA | OFISI YA RPC MBEYA | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
24 | NJOMBE | OFISI YA RPC NJOMBE | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
25 | RUVUMA | OFISI YA RPC RUVUMA | 08-11 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
Muhimu:
(i) Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha usaili kilicho karibu naye kulingana na tarehe zinavyoonesha kwenye jedwali hapo juu ili mradi awe amejiridhisha kuwa ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili. Jeshi la Polisi halitashughulikia usaili wa mtu ambaye hayupo kwenye orodha ya walioitwa kwenye usaili.
(ii) Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyote vya masomo [(Academic Certificate(s)/Results slip(s) & Leaving certificate(s)] na nakala halisi ya cheti cha kuzaliwa (Original Birth certificate)]. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
(iii) Mwombaji awe na namba ya simu itakayotumika kumjulisha endapo atachaguliwa..
(iv) Kila mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atajigharamia usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili. Pia waombaji waje na kalamu za wino kwa ajili ya usaili wa kuandika.
Ni muhimu sana kwa kila mwombaji kuzingatia muda wa kuanza usaili.
PAKUA ORODHA YA MAJINA