Friday, August 15, 2014

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE WAUA MWIZI WA LAPTOP CHUONI HAPO MOROGORO...TAZAMA PICHA

Wanafunzi wa mzumbe main campus Morogoro wameua mwizi alIyeiba laptop kutoka mabweni mawili tofauti kwa taarifa zaidi zinasema uuaji huo umetokea na hasira kali za wanafunzi hao kuibiwa laptop kila siku na pia mwanzafunzi mwenzao kuvamiwa barabarani na kujeruhiwa na visu siku zilizopita....