Sunday, September 14, 2014

Historia waliyoitengezea Geita kwenye Serengeti Fiesta 2014.

248fstHuu ni mji wa 8 kufikiwa na Serengeti Fiesta 2014 kati ya miji 18 ambayo ipo kwenye list ya kukutana na msimu huu wa mafanikio ambao hua unakufikia mara moja tu kwa mwaka.
Baada ya Shy Town imefata Geita kisha baadae msimu huu wa mafanikio utakua unasambaza upendo kwenye mkoa wa Tabora 88.0 kwenye uwanja wa Al Hassan Mwinyi,Geita wameonyesha upendo mkubwa sana licha ya kiingilio kuwa tofauti na miji mingine.
Katika miji iliyopita kiingilio cha Fiesta kimepita kwa shilingi 5,000 lakini kwa Geita imekua ni 10,000 lakini pamoja na kuwa kiingilio hicho bado wana Geita wamefanikiwa kusambaza upendo.
Hizi ni baadhi ya picha wakati wasanii wanaperfoam.
409fst
Ney wa Mitego on Stage.
399fst
Ney wa Mitego na Stamina wakiperfoam huko kwenu vipi?
398fst
395fst
Stamina aka Shorobwenzi..
392fst
358fst
Wakata mkaa wenye roho mbaya ‘Chegge na Temba’ wakiwa kazini.
366fst
367fst
378fst
Stamina.
331fst
Team XXL ‘Dj Fetty na Dj Zero’
329fst
Dj Zero.
292fst
Fid Q.
306fst
308fst
Fid Q akisema na mtoto wa Geita.
318fst
240fst
Nikki wa pili.
246fst
247fst
237fst
214fst
Dj Fetty kutoka XXL ya Clouds FM.
213fst
212fst
202fst
Ommy Dimpoz.
181fst
Recho akiwa na Dancers wake.
193fst
201fst
180fst
174fst
Young Killer.
172fst
Nyomi la Wanageita.
152fst
153fst
114fst
Mr.Blue
135fst
Kutoka XXL ya Clouds FM huyu ni Adam Mchomvu.
98fst
Linah na Kadja Maumivu.
154fst       100fst
112fst
93fst
85fst
50fst
Kadja Maumivu.
84fst      66fst
11fst
Barakah Da Prince.
61fst
Mo Music.
60fst