Friday, March 27, 2015

WACHAWI WAPATA AJALI WAKIWA SAFARINI MKOANI TANGA

Wachawi wapatao zaidi ya kumi wameanguka
mkoani Tanga walipokuwa wakisafiri kimiujiza kwa
kutumia nyungo zao. Inasemekana wachawi hao
walikuwa wakielekea mkoani Tabora, chanzo zhetu
cha habari hii kitatupa habari zaidi ……………