Sunday, May 10, 2015

Baada ya Wema Kupromote Watu Wampigie Kura Ali Kiba Kill Awards, Diamond Aibuka na Kuziponda Vibaya Tuzo Hizo ya Kill Awards

Ki ukweli nahisi hawa wawili bado wanawindana japo wameachana , ni kama wanafuatiliziana nyendo zao na kujaribu kuumizana kwa njia moja ama nyingine huku wakijaribu kuonyesha kila mmoja ame move on ...

Embu ona hiii : Wema Sasa amekuja na nguvu zote ana mtangaza Ali Kiba Kwenye Instagram yake na Kuomba watu wampigie kura kushinda Kill Music Awards wakati akijua kabisa Ali Kiba na  Diamond haziivi ...

Baada ya Muda Diamond Anaibuka na Kuziponda Vibaya Tuzo za Kill Awards Kama Univyosomeka Hapa Chini: